Biashara ya uwakala M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money

Ha ha ha! Na ndoto zote za utajiri zikaota mbawa! Kwa huo mwezi total transactions zilizopelekea gawio la 24K ilikuwa kama how much Chief? Just rough est.
Dah acha tu transaction zilikuwa zinafika almost 45M maana nilikuwa nimeitega line ofisi ya utalii ambako jamaa alikuwa analipa Ma Guide na ma Porter!

Nikajisemea tu Voda kumaniokor😂
 
Mnanitisha wakati nataka kuianza hii Biashara.
Hio biashara iliingiliwa mdudu ilivyoanza kupigwa kodi za ajabu 😁 ndio kipindi ambacho line ziliuzwa kwa kasi sana hapa nchini. Kila upande unasikia flani anauza line ya M-PESA mara kule flani anauza line ya TIGOPESA watu waliuziana sana line. Biashara ilikuwa ndio imeishia pale walipoanza kuminya commission!

Zamani commission line moja tu kabla watu hawajawa wengi watu walikuwa wanafungasha laki 5-7 ukiwa nazo mbili una uhakika wa 1.4-1.6M ila toka ujinga ukikusanya 150K ujue we mwanaume na kazi kweli umepiga 😂😂😂
 
Mkuu ni kweli toka jamaa aingie bishara imeharibika kabisa
Zamani commission line moja tu kabla watu hawajawa wengi watu walikuwa wanafungasha laki 5-7 ukiwa nazo mbili una uhakika wa 1.4-1.6M ila toka ujinga ukikusanya 150K ujue we mwanaume na kazi kweli umepiga 😂😂😂

Yani laini zilikuwaga zinaweza kukuendeshea maisha freshi tu ila sasahivi usipoangalia utatupiwa vyombo nje 😁! Uwakala ni kazi ya ziada tu
 
Dah acha tu transaction zilikuwa zinafika almost 45M maana nilikuwa nimeitega line ofisi ya utalii ambako jamaa alikuwa analipa Ma Guide na ma Porter!

Nikajisemea tu Voda kumaniokor😂
... yaani transactions za 45M gawio 24K? Duh! Ndio maana hii kitu sikuwahi hata kuitilia maanani kama kitu cha kufanya. By the way, watu wanakuona umejaza rambo la hela kumbe hela za watu; chako 3,458/-. Biashara ya kuweka risk maisha yako hovyo sana.
 
Hio biashara niliitamanigi ila upumbavu mtupu! Nikauliza wadau wakaniambia labda sababu ulikuwa unafanya biashara na watu hao hao nikaona what the https://jamii.app/JFUserGuide ishu ni watu au miamala?
 
... yaani transactions za 45M gawio 24K? Duh! Ndio maana hii kitu sikuwahi hata kuitilia maanani kama kitu cha kufanya. By the way, watu wanakuona umejaza rambo la hela kumbe hela za watu; chako 3,458/-. Biashara ya kuweka risk maisha yako hovyo sana.
Sasa iyo miamala watu wanaipiga kwa siku moja tu alafu yeye kaipiga kwa mwezi huoni kwamba ufanyaji kazi wake au location yake ndo vya hovyo mkuu???
 
Back
Top Bottom