Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Usiogope, formular ya maisha huwa haiko hivyo. Kwasababu yule kashindwa kitu fulani, haina maana kila atakaefanya atashindwa.Nyie Nina mpango wa kufungua biashara ya uwakala wa lain zote na bank kama crdb n nmb ila mnaniogopesha na ndio biashara ya kwanza