xnad
Member
- May 22, 2013
- 24
- 42
bank sasaiv wanatoa uwakala njia ya sim. changamoto yake haitoi receipt ila ni mwanzo mzuri hukosi wateja wachache waelewaMwenye mashine wa Uwakala ya NMB tafadhali tufanye biashara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bank sasaiv wanatoa uwakala njia ya sim. changamoto yake haitoi receipt ila ni mwanzo mzuri hukosi wateja wachache waelewaMwenye mashine wa Uwakala ya NMB tafadhali tufanye biashara
TANGAZO
Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.
Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Yah bora kutafta chaka jingine ambalo kwa million 5 waweza pata returns hizo ndani ya week tu au siku 10!
Na Mimi ninazo hizo 5 millions nahtaji chaka zuri lenye tijaBiashara gani naweza nikafanya kwa mtaji wa milion 5
Unahitaji laini gani?Bado unatengeneza lain za uwakala? Nahitaji
UNATENGENEZA?! Nildhani zinatolewa na wenyewe yaani tigo, airtel na wengine! Kumbe unaweza kuzichogesha tu mtaani, halafu huko kwa wenyewe wanazitambua kweli?! Sijui nangoja elimu dunia!TANGAZO
Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.
Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
500m TZSHabari,
Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.
Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?
Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.
Natanguliza shukrani za dhati.
-------
Michango ya wadau
Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
Niko Tabora mkuuUko wapi
Doh mbali na cycle....uwe na tin..leseni na nida..halafu tembelea maduka ya mitandao mkuu utapata maelezo ya kupata laini zako...ingawa ni biashara inayotakiwa uwekeze kwa ajili ya kula na siku hizi haina faida kubwa sana..ingawa commission baadhi ya mitandao inatofautiana mkoa na mkoaNiko Tabora mkuu
Tuelezee hali ya bishara mzee faida,hasara risk zilizopo na changamoto kwa ujumlNmegundua kwamba watu wengi wapo ili kukatisha wengne tamaa.
Sio kila biashara ulioshndwa ww kwmb haina faida. Na wengi wetu tunapenda kuponda biashara wakati hatujawahi kuifanya.
Kila biashara ina changamoto zake kwahyo biashara ya wakala ina changamoto km biashara nyngne.
Kuna watu biashara hii ya uwakala wamejenga alafu leo unasema ni biashara kichaa?
Ktk kila biashara kila mtu ana malengo yake kwahyo tusipende kukatishana tamaa.
Biashara hii ili uone faida yake lazma uchague location nzuri na uwe na mtaji. Km mtaji wako ni mdogo basi uwe mjanja sana. Ujanja sio kuibia watu bali uwezo wako wa kuwahudumia watu na kuhakikisha kila anayefka kwako anapata huduma kwa wakati bila shda.
Hapo juu kuna mtu amesema faida zake haziongezi wala huwez kupata wateja wateja wapya. Hii sio kweli.
Mm nafanya biashara hii na huniambii kitu
Unahitaji laini gani?
Nmekupenda buleNmegundua kwamba watu wengi wapo ili kukatisha wengne tamaa.
Sio kila biashara ulioshndwa ww kwmb haina faida. Na wengi wetu tunapenda kuponda biashara wakati hatujawahi kuifanya.
Kila biashara ina changamoto zake kwahyo biashara ya wakala ina changamoto km biashara nyngne.
Kuna watu biashara hii ya uwakala wamejenga alafu leo unasema ni biashara kichaa?
Ktk kila biashara kila mtu ana malengo yake kwahyo tusipende kukatishana tamaa.
Biashara hii ili uone faida yake lazma uchague location nzuri na uwe na mtaji. Km mtaji wako ni mdogo basi uwe mjanja sana. Ujanja sio kuibia watu bali uwezo wako wa kuwahudumia watu na kuhakikisha kila anayefka kwako anapata huduma kwa wakati bila shda.
Hapo juu kuna mtu amesema faida zake haziongezi wala huwez kupata wateja wateja wapya. Hii sio kweli.
Mm nafanya biashara hii na huniambii kitu
Nimeona watu wanajaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo wanayosikia kwa watu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2017 hapa jijini wakati nipo chuo nilinunua lain za uwakala kwa wakala mkuu wa mitandao yote. Nilivyomaliza nikapiga kambi rasmi na mwamvuli tu barabarani na mtaji wangu wa laki 8 mpaka sasa nakwambia nimeshajenga nyumba kali na ni well finished kwenye eneo lenye thamani kubwa kigamboni na kumiliki viwanja na mashamba kwa biashara hyo hyo takataka. Kuna watu wanapenda kutoa ufafanuzi wa mambo ambayo hawajawah fanya kama risk hakuna biashara ambayo haina ila kuwa mwangalifu tu na wateja unaowauhudumia sio kila mteja unamtolea hela kubwa au kumuekea hawa ndio wanakua chanzo cha mambo yote na pia usijenge urafiki na wateja kama kashahudumiwa aondoke ofisi yako sio kijiwe. Mwisho kwa uangalifu, kupigwa kupo hata mimi nilipigwa laki tatu kwa kuleta mazoea na mteja pamoja na kutoshikiria kanuni za kazi. Tigo pesa sasa hivi hakuna biashara kama hii ina moto sana watu wanapata namba za ajabu kwa mitaverr
Umenitia moyo sana kuendelea..maana ndo nataka kuanza nimeshata eneoNimeona watu wanajaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo wanayosikia kwa watu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2017 hapa jijini wakati nipo chuo nilinunua lain za uwakala kwa wakala mkuu wa mitandao yote. Nilivyomaliza nikapiga kambi rasmi na mwamvuli tu barabarani na mtaji wangu wa laki 8 mpaka sasa nakwambia nimeshajenga nyumba kali na ni well finished kwenye eneo lenye thamani kubwa kigamboni na kumiliki viwanja na mashamba kwa biashara hyo hyo takataka. Kuna watu wanapenda kutoa ufafanuzi wa mambo ambayo hawajawah fanya kama risk hakuna biashara ambayo haina ila kuwa mwangalifu tu na wateja unaowauhudumia sio kila mteja unamtolea hela kubwa au kumuekea hawa ndio wanakua chanzo cha mambo yote na pia usijenge urafiki na wateja kama kashahudumiwa aondoke ofisi yako sio kijiwe. Mwisho kwa uangalifu, kupigwa kupo hata mimi nilipigwa laki tatu kwa kuleta mazoea na mteja pamoja na kutoshikiria kanuni za kazi. Tigo pesa sasa hivi hakuna biashara kama hii ina moto sana watu wanapata namba za ajabu kwa mitaji midogo
Zinapatikana kwa shilling ngapi?TANGAZO