Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
UNATENGENEZA?! Nildhani zinatolewa na wenyewe yaani tigo, airtel na wengine! Kumbe unaweza kuzichogesha tu mtaani, halafu huko kwa wenyewe wanazitambua kweli?! Sijui nangoja elimu dunia!
 
Habari,

Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.

Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?

Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.

Natanguliza shukrani za dhati.
-------

Michango ya wadau

Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
  1. Biashara ya uwakala M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL-MONEY
500m TZS
 
Natamani kuanzisha biashara ya uwakala wa m-pesa sasa natamani kujua

* Naanzaje biashara?
*Natakiwa kuwa na vitu gani?
*Nafuata utaratibu upi?
*Vipi na faida zikoje?
*Nikifanya investment hapo naweza kuitegemea hiyo biashara?

NB: Kuna hii wanaita lipa namba, inafanyaje kazi au ina kazi gani?

Natanguliza shukurani zangu kwa michango yenu

1655453836489.png
 
Niko Tabora mkuu
Doh mbali na cycle....uwe na tin..leseni na nida..halafu tembelea maduka ya mitandao mkuu utapata maelezo ya kupata laini zako...ingawa ni biashara inayotakiwa uwekeze kwa ajili ya kula na siku hizi haina faida kubwa sana..ingawa commission baadhi ya mitandao inatofautiana mkoa na mkoa
 
Hii biashara nilwahi kufanya, baada ya Covid kuingia mambo yakibadilika kiasi fulani, na baada ya tozo za miamala kuongezwa ndio kabisaa, binafsi nashauri kama unafanya hiyo biashara uwe na biashara ingne hapo hapo
 
Nmegundua kwamba watu wengi wapo ili kukatisha wengne tamaa.

Sio kila biashara ulioshndwa ww kwmb haina faida. Na wengi wetu tunapenda kuponda biashara wakati hatujawahi kuifanya.

Kila biashara ina changamoto zake kwahyo biashara ya wakala ina changamoto km biashara nyngne.

Kuna watu biashara hii ya uwakala wamejenga alafu leo unasema ni biashara kichaa?

Ktk kila biashara kila mtu ana malengo yake kwahyo tusipende kukatishana tamaa.

Biashara hii ili uone faida yake lazma uchague location nzuri na uwe na mtaji. Km mtaji wako ni mdogo basi uwe mjanja sana. Ujanja sio kuibia watu bali uwezo wako wa kuwahudumia watu na kuhakikisha kila anayefka kwako anapata huduma kwa wakati bila shda.

Hapo juu kuna mtu amesema faida zake haziongezi wala huwez kupata wateja wateja wapya. Hii sio kweli.

Mm nafanya biashara hii na huniambii kitu
Tuelezee hali ya bishara mzee faida,hasara risk zilizopo na changamoto kwa ujuml
 
Nmekupenda bule
 
Nimeona watu wanajaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo wanayosikia kwa watu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2017 hapa jijini wakati nipo chuo nilinunua lain za uwakala kwa wakala mkuu wa mitandao yote. Nilivyomaliza nikapiga kambi rasmi na mwamvuli tu barabarani na mtaji wangu wa laki 8 mpaka sasa nakwambia nimeshajenga nyumba kali na ni well finished kwenye eneo lenye thamani kubwa kigamboni na kumiliki viwanja na mashamba kwa biashara hyo hyo takataka. Kuna watu wanapenda kutoa ufafanuzi wa mambo ambayo hawajawah fanya kama risk hakuna biashara ambayo haina ila kuwa mwangalifu tu na wateja unaowauhudumia sio kila mteja unamtolea hela kubwa au kumuekea hawa ndio wanakua chanzo cha mambo yote na pia usijenge urafiki na wateja kama kashahudumiwa aondoke ofisi yako sio kijiwe. Mwisho kwa uangalifu, kupigwa kupo hata mimi nilipigwa laki tatu kwa kuleta mazoea na mteja pamoja na kutoshikiria kanuni za kazi. Tigo pesa sasa hivi hakuna biashara kama hii ina moto sana watu wanapata namba za ajabu kwa mitaverr
 
Nimeona watu wanajaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo wanayosikia kwa watu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2017 hapa jijini wakati nipo chuo nilinunua lain za uwakala kwa wakala mkuu wa mitandao yote. Nilivyomaliza nikapiga kambi rasmi na mwamvuli tu barabarani na mtaji wangu wa laki 8 mpaka sasa nakwambia nimeshajenga nyumba kali na ni well finished kwenye eneo lenye thamani kubwa kigamboni na kumiliki viwanja na mashamba kwa biashara hyo hyo takataka. Kuna watu wanapenda kutoa ufafanuzi wa mambo ambayo hawajawah fanya kama risk hakuna biashara ambayo haina ila kuwa mwangalifu tu na wateja unaowauhudumia sio kila mteja unamtolea hela kubwa au kumuekea hawa ndio wanakua chanzo cha mambo yote na pia usijenge urafiki na wateja kama kashahudumiwa aondoke ofisi yako sio kijiwe. Mwisho kwa uangalifu, kupigwa kupo hata mimi nilipigwa laki tatu kwa kuleta mazoea na mteja pamoja na kutoshikiria kanuni za kazi. Tigo pesa sasa hivi hakuna biashara kama hii ina moto sana watu wanapata namba za ajabu kwa mitaji midogo
Umenitia moyo sana kuendelea..maana ndo nataka kuanza nimeshata eneo
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Zinapatikana kwa shilling ngapi?
 
Back
Top Bottom