Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Bado unatengeneza lain za uwakala? Nahitaji
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
UNATENGENEZA?! Nildhani zinatolewa na wenyewe yaani tigo, airtel na wengine! Kumbe unaweza kuzichogesha tu mtaani, halafu huko kwa wenyewe wanazitambua kweli?! Sijui nangoja elimu dunia!
 
500m TZS
 
Natamani kuanzisha biashara ya uwakala wa m-pesa sasa natamani kujua

* Naanzaje biashara?
*Natakiwa kuwa na vitu gani?
*Nafuata utaratibu upi?
*Vipi na faida zikoje?
*Nikifanya investment hapo naweza kuitegemea hiyo biashara?

NB: Kuna hii wanaita lipa namba, inafanyaje kazi au ina kazi gani?

Natanguliza shukurani zangu kwa michango yenu

 
Niko Tabora mkuu
Doh mbali na cycle....uwe na tin..leseni na nida..halafu tembelea maduka ya mitandao mkuu utapata maelezo ya kupata laini zako...ingawa ni biashara inayotakiwa uwekeze kwa ajili ya kula na siku hizi haina faida kubwa sana..ingawa commission baadhi ya mitandao inatofautiana mkoa na mkoa
 
Hii biashara nilwahi kufanya, baada ya Covid kuingia mambo yakibadilika kiasi fulani, na baada ya tozo za miamala kuongezwa ndio kabisaa, binafsi nashauri kama unafanya hiyo biashara uwe na biashara ingne hapo hapo
 
Tuelezee hali ya bishara mzee faida,hasara risk zilizopo na changamoto kwa ujuml
 
Nmekupenda bule
 
 
Umenitia moyo sana kuendelea..maana ndo nataka kuanza nimeshata eneo
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Zinapatikana kwa shilling ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…