Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Ndugu zangu je uwakala wa pesa kwa njia ya simu na bank unalipa?
Je malipo yakoje?
Faida ikoje?
Hasara nayo vipi?
Zipi changamoto zake?
Kumekuwa na idadi kubwa sana ya wanachi kujiingiza katika biashara ya wakala wa pesa kwa njia ya simu na bank, je faida inayopatikana ndiyo inayoshawishi wananchi kuwa wakala ama ni ugumu wa maisha unapelekea wanachi kufanya biasha yeyote pasipokujali maslahi?
 
Faida inategemea unafanya biashara maeneo yenye mzunguuko wa pesa kiasi gani pamoja na kiwango chako cha mtaji

Umakini mkubwa unahitajika maana utapeli na Chuma ulete ni wengi saana

Changamoto kubwa ni kupata vijana waaminifu wa kufanya Kazi wengi ni wezi na huwa wanatoroka na kiasi kikubwa cha pesa

Hakuna biashara isiyo na faida

Welcome
 
Sawa sawa, hili swala la chuma ulete ni kweli lipo? Huwa inakuaje ama mtu ataona matukio gani ali atambue kuwa ana chuma ulete?
 
Uzi unakatisha na kutia Moyo.... Vijana msiache fursa ni vema kufanya kuliko kutofanya, nilifanya Wakala mwaka 2015 mtaji niliweka 1.5, nilikuwa napata hadi 500k kwa line tatu Tigo, airtel na M-pesa, hasara, Kijana wa Dukani alipoteza simu yenye float 920,000 katika mazingira ya kutatanisha sana
 
Inasikitisha kuona watu wamelike kabisa comment yako. Wewe bila shaka sio mfanyabiashara wala huna uelewa wa kutosha wa biashara
Hii biashara nimeifanya na mwez wa tatu huu,sema ukweli ukiwa naa location nzur utapata pesa ya kula hukosi,mm na kimtaji changu cha ml 1.5 napata faida had ya laki 4 per month lkn apo unakua mjanja saiv unatumia na lipa kwa lkn mtu akiwa na mtaji kuanzia ml 5 ad 7 kwa uwakala tu wa mitandao tfaut na ubanker unapiga pesa nzuri tu ukiwa na location nzur,sema kwa sasa kody 10% inakata sana harafu chngmto n wez nmeibiwa kama laki 2 na nusu n kitu knarudaha nyuma sana lkn ukiwa makin hukosi pesa yaa kujkim
 
Wapendwa hali zenu?

Naomba kujua namna na ni kiasi gani ninaweza kupata uwakala wa Mpesa, Tigopesa na Airtel money.

Tayari nimesha sajili jina la biashara, lesen na Tin.

Niko,
Wilaya ya Ilala,
Kata ya Msongola,
Mtaa wa Mvuleni,
Dar es Salaam.
 
𝐕𝐢𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢 𝐮𝐟𝐢𝐤𝐞 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐒𝐡𝐨𝐩 𝐳𝐚𝐨 𝐢𝐥𝐢 𝐮𝐩𝐚𝐭𝐞 𝐮𝐭𝐚𝐫𝐚𝐭𝐢𝐛𝐮 𝐦𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢.

𝐇𝐮𝐦𝐮 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐣𝐢𝐢𝐭𝐚 𝐦𝐚𝐰𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐮𝐮 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐤𝐮𝐮𝐧𝐠𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐳𝐢 𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐚 𝐧𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐡𝐚𝐭𝐢𝐦𝐚𝐲𝐞 𝐮𝐧𝐚𝐣𝐢𝐤𝐮𝐭𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐌𝐚𝐭𝐚𝐩𝐞𝐥𝐢.

𝐇𝐢𝐲𝐨 𝐢𝐭𝐚𝐤𝐮𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐩𝐢𝐧𝐝𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐚𝐩𝐨𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐦𝐨𝐭𝐨 𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐚 𝐮𝐭𝐚𝐣𝐮𝐚 𝐤𝐰𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐧𝐢𝐞𝐧𝐝𝐞 𝐬𝐡𝐨𝐩 𝐭𝐮 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐤𝐨 𝐡𝐚𝐨 𝐦𝐚𝐰𝐚𝐤𝐚𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐤𝐮𝐮 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐮𝐭𝐚𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚𝐧𝐚 𝐨𝐟𝐢𝐬𝐢 𝐭𝐮𝐮.
 
doh yan 4m mtu analambwa shaba kweli.
hapa nmejifunza kitu unaweza kuona unatembea na hela ndogo kumbe risk kubwa
Kama Panyarodi anaweza kukumaliza kwa kumiliki kswaswadU tu unafikiri million 4 atakufanyaje akikuta nayo?
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Bei gani
 
Line zangu Airtel na Tigo zimefungiwa kufanya miamalaa sababu nina muda sijazitumia je, naweza kuzi activate????
 
Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Sio yule aliyekuwa na banda nyingingyingi pale stand ya zaman kabla ya bomoa bomoa??
 
Wapendwa hali zenu?

Naomba kujua namna na ni kiasi gani ninaweza kupata uwakala wa Mpesa, Tigopesa na Airtel money.

Tayari nimesha sajili jina la biashara, lesen na Tin.

Niko,
Wilaya ya Ilala,
Kata ya Msongola,
Mtaa wa Mvuleni,
Dar es Salaam.
🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁🎁
HIVI MPAKA SASA KUNA MTU HANA ANAHITAJI LAINI ZA UWAKALA NA BADO HAJAPATA USIJALI HUJACHELEWA NJOO NIKUHUDUMIE

🧰 HALOPESA
Masaa 12 Done✅
🧰 TIGOPESA
Masaa 12 Done✅
🧰 AIRTEL MONEY
Masaa 4 Done✅
🧰 LIPA KWA MPESA
🧰 TIN NAMBA APPLICATION 5000

📌 VIGEZO
🧲 KITAMBULISHO CHA NIDA AU MPIGA KURA
🧲TIN NAMBA CERTIFICATE

💠 MALIPO NI BAADA YA KAZI

KIPAUMBELE NI KAZI KWANZA

📱0769020432
 
Njoo pm nitakusaidia kuzipata hizo line kwa gharama nafuu kabisa na kwa uharaka zote zikiwa na taarifa zako. Karibu sana
 
Utapeli at it's best!
 
Wapendwa hali zenu?

Naomba kujua namna na ni kiasi gani ninaweza kupata uwakala wa Mpesa, Tigopesa na Airtel money.

Tayari nimesha sajili jina la biashara, lesen na Tin.

Niko,
Wilaya ya Ilala,
Kata ya Msongola,
Mtaa wa Mvuleni,
Dar es Salaam.
hii biashara ni nzuri lakini inatakiwa iwe na vitu vingine ku support. usiitegemee utachemka mapema
INATAKIWA UPATE KONA NZURI ILIYOCHANGAMKA
uwe na mtu wa kukusaidia au unakaa mwenyewe sawa tu
faida unapata kwa bonasi na ni mpaka mwisho wa mwezi
unasajili/kununua line shughuli zinaendelea
ogopa matapeli wa kimtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…