Aisee walipona ?😪Kuna classmate wangu mmoja kigamboni wadogo zake wawili walikula shaba getini kwao kabisa! Wajuba wakabeba million 4
Sijakufahamu..!nimepitia comment zote aisee itoshe kusema hizi line ntazi
Mkuu niko kwenye location mbaya. Kwenye hii biashara nimegundua location matters a lot. Hata hivyo nina mpango wa kufungua ofisi nyingine maeneo ya mjini ili compliment each otherBoss mtaji 20M upate commission ya sh 500k? Kuna tatzo mahali au huenda ndo kwnz umeingia kwenye game. Hyo 500k ilitakiwa ipatikane ktk line mojawapo ya unazofanyia dukan. Kwangu line zinazofanya vbaya ukitoa t-pesa ni halopesa na airtel money, ila nikijumlisha commission ya halopesa +airtel money =500k. Na hapo mtaji wangu haujafika hata nusu ya huo mtaji. Imagine nina uwakala wa crdb, nmb, tpb, nbc, equity, akiba +maendeleo Bank. Narudia mtaji wangu haujafka hata nusu ya 20M.
Kwanini wakati walikuwa wanazi promoteNasikia lipa kwa tigo zinaenda kufungiwa.
Fraud.
Mchawi wa hizi kazi n location kwa maana kuwe na wateja weng wakuweka na kutoa,,, cha pili mtaji kwa maana uwe na cash na float ya uwakika.Jaman nina mtaji wa 4M na plan ya kuingia kwenye hii biz yan nitakuwa na 3M ya floats vip naweza toboa ?
Inasikitisha kuona watu wamelike kabisa comment yako. Wewe bila shaka sio mfanyabiashara wala huna uelewa wa kutosha wa biasharaHii biashara nilishasemaga ni ya watu wavivu kufikiri! Kuna mtu alininanga ila nilikuwa nishampa ukweli!
Its useles ku risk million 10 kwa mwezi mzima kwa returns za 1.5M ambayo ni makadirio ya juu sana unaweza pata chini ya hapo! Kuna kupigwa risasi na sahizi Magufuli hayupo maana ujambazi utakuwa nje nje! Kuna chumaulete pia! Its surely a risky bet
Uwakika ×Mchawi wa hizi kazi n location kwa maana kuwe na wateja weng wakuweka na kutoa,,, cha pili mtaji kwa maana uwe na cash na float ya uwakika.
Hiyo ndogo sana watu wanagonga million mpaka 8 Nmb/Crdb/Nbc/Tpb huku sumbawangaMimi nahis napingana na wanao Sema faida ni ndogo kwa sababu Kuna wakala Ana tigo pesa, mpesa na Airtell money ila kwa mwezi anapiga laki 4 vipi wale wenye mpaka branch za bank?
Mimi kuna jamaa yangu kwa mwezi inagonga 2na nusu mpaka Tatu na nusu Milion
Uzi mzuri..naendelea kusoma comments
Imenibidi nami niangalie hiyo avatar ya msoma commentsMi naangalia avatar yako tu
Nenda bank wanatoaMwenye mashine wa Uwakala ya NMB tafadhali tufanye biashara
Benki Kwa sasa hivi hawatoi wamesitisha utoaji wa mashine hizo.Nenda bank wanatoa