Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Habari naomba kujua kamisheni za uwakala mkuu WA tigopesa mpesa AirtelMoney na Halotel kwa anayejua msaada tafadhali.
 
Habari naomba kujua kamisheni za uwakala mkuu WA tigopesa mpesa AirtelMoney na Halotel kwa anayejua msaada tafadhali.
Kamisheni inategemea na kiwango chako cha mtaji, na pia mzunguko wako. Mtaji ukiwa mkubwa, na mzunguko pia ukiwa mkubwa, na kamisheni nayo inakuwa kubwa.

Kwa hiyo jitahidi utafute eneo lililo changamka! Halafu uwe na mtaji wa kutosha.
 
Kamisheni inategemea na kiwango chako cha mtaji, na pia mzunguko wako. Mtaji ukiwa mkubwa, na mzunguko pia ukiwa mkubwa, na kamisheni nayo inakuwa kubwa.

Kwa hiyo jitahidi utafute eneo lililo changamka! Halafu uwe na mtaji wa kutosha.
Ahsante ila nilitaka kujua rank za kamisheni zake na hizi za uwakala WA kawaida zinatofautiana kiwango gani.
 
Habari naomba kujua kamisheni za uwakala mkuu WA tigopesa mpesa AirtelMoney na Halotel kwa anayejua msaada tafadhali.
Tigo 0.05% mpesa 0.1% below 2m above that 2,500. Airtel 0.1% halotel 0.15% ya ulichomiwekea wakala akatumia kumuhudumia mteja. Asipohudumia ni fraud hulipwi

Sent from my V2207 using JamiiForums mobile app
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Gharama ni kiasi gani?
 
Bro naomba tuwasiliane private
Leseni mkuu haina bei maarumu ila inategemeana na eneo unaloweka biashara yako kila eneo Lina bei yake, kwa sehem ulipo jaribu kuulizia mtu hua analipia leseni sh ngapi kwa eneo Hilo,

Maana leseni ni kibari Cha kufanyia biashara flan sehem flan, na mtu wa dar ilala hawez lipa kiwango kimoja na mtu wa sengerema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo unaweza kupata leseni
Manispaa au halmashauri bila kupita TRA?
 
Kwani we ni nani? Anae sajili laini izo za uwakala maana m navyo jua laini inatengenezwa duka la mitandao usika
 
Habari,

Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala.

Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje?

Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo biashara.

Natanguliza shukrani za dhati.
-------

Michango ya wadau



Kwa maoni na ushauri zaidi soma:
  1. Biashara ya uwakala M-PESA, TIGO-PESA, AIRTEL-MONEY
PM mi kwa anayehitaji uwakala wa Azam Pesa
 
Hi biashara bure kabisa, wastage of resources!! yaani una invest 20mil commission ukijumlisha haizidi 500K (uzoefu wangu), watu wakiona movement za wateja in and out wanafikiri unatengeneza faida kumbe ukweli unaujua mwenyewe. Lakini ukipata location nzuri unaweza piga pesa
Wewe ndiye mpuuzi, unakuwaje na mtaji wote huo halafu unapata faida laki 5 wakati yupo mwenye m3 anapata zaidi ya 500k
 
Natamani kuanzisha biashara ya uwakala wa m-pesa sasa natamani kujua

* Naanzaje biashara?
*Natakiwa kuwa na vitu gani?
*Nafuata utaratibu upi?
*Vipi na faida zikoje?
*Nikifanya investment hapo naweza kuitegemea hiyo biashara?

NB: Kuna hii wanaita lipa namba, inafanyaje kazi au ina kazi gani?

Natanguliza shukurani zangu kwa michango yenu

Unatakiwa kuwa na akili timamu, mengine hayana shida.
 
Hii biashara nimeifanya na mwez wa tatu huu,sema ukweli ukiwa naa location nzur utapata pesa ya kula hukosi,mm na kimtaji changu cha ml 1.5 napata faida had ya laki 4 per month lkn apo unakua mjanja saiv unatumia na lipa kwa lkn mtu akiwa na mtaji kuanzia ml 5 ad 7 kwa uwakala tu wa mitandao tfaut na ubanker unapiga pesa nzuri tu ukiwa na location nzur,sema kwa sasa kody 10% inakata sana harafu chngmto n wez nmeibiwa kama laki 2 na nusu n kitu knarudaha nyuma sana lkn ukiwa makin hukosi pesa yaa kujkim
Dogo unalialia sana, wenzako tushaibiwa na mamilion lakini tunakomaa tu.
 
Back
Top Bottom