Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wangu sasa ndio alikuwa anataka kuweka 20 yule nampiga kofi, me nlikuwa sijui sasa kwenye stori na bimkubwa ndio akaniambia hiyo mipango nikawastopisha kwa lekcha moja matata sana.... Ujue vanilla tatizo lipo kwenye pollination mzee kila ua ili lioteshe kile kidude kama arage bich lazima lifanyiwe polination manually na lazima iwe asubuh sana, jua likitoka kama maua hayajafanyiwa pollination yanaanguka, inabidi usubiri mpaka mwaka mwingine, ni mtiti bwana mkubwa.... Nikipata time ntakuja kuwaeleza watu wajue namna ilivyo shughuli pevuUsisahau kumpiga kofi moja la kichwa ili kumuweka sawa ht kama n bimkubwa
Aisee ni nomaMdogo wangu sasa ndio alikuwa anataka kuweka 20 yule nampiga kofi, me nlikuwa sijui sasa kwenye stori na bimkubwa ndio akaniambia hiyo mipango nikawastopisha kwa lekcha moja matata sana.... Ujue vanilla tatizo lipo kwenye pollination mzee kila ua ili lioteshe kile kidude kama arage bich lazima lifanyiwe polination manually na lazima iwe asubuh sana, jua likitoka kama maua hayajafanyiwa pollination yanaanguka, inabidi usubiri mpaka mwaka mwingine, ni mtiti bwana mkubwa.... Nikipata time ntakuja kuwaeleza watu wajue namna ilivyo shughuli pevu
Yametimia.Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime wenyewe kwa vile wanajuwa soko lilipo?
2. Ile methali ya kizuri chajiuza, na kibaya chajitembeza, je ina apply hapa?
3. Kuna watu wanalima vanilla Mkoa wa Kagera wanadai kuwa hata mteja wa kumuuzia kilo moja kwa Tsh 50,000 hawampati.
4. Kwa nini wanatangaza "faida" tu mfano bei nzuri na hawatangazi "changamoto" zinazoendana na biashara hii?
5. Naiona kama DESI watu wanaweza kupigwa hela hapa.
Wajuzi tufahamisheni
Lilikuwa ni suala la muda tu. Yule tapeli Simon Mkondya hatimaye ananyea debe;-Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime wenyewe kwa vile wanajuwa soko lilipo?
2. Ile methali ya kizuri chajiuza, na kibaya chajitembeza, je ina apply hapa?
3. Kuna watu wanalima vanilla Mkoa wa Kagera wanadai kuwa hata mteja wa kumuuzia kilo moja kwa Tsh 50,000 hawampati.
4. Kwa nini wanatangaza "faida" tu mfano bei nzuri na hawatangazi "changamoto" zinazoendana na biashara hii?
5. Naiona kama DESI watu wanaweza kupigwa hela hapa.
Wajuzi tufahamisheni
Tayari ashawakusanya wajinga wakeLilikuwa ni suala la muda tu. Yule tapeli Simon Mkondya hatimaye ananyea debe;-
View attachment 3145787
Wajinga hawaishi TanzaniaTayari ashawakusanya wajinga wake
Na bado akitokea mwingine atawakusanya wengi tu.Wajinga hawaishi Tanzania