Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

Usisahau kumpiga kofi moja la kichwa ili kumuweka sawa ht kama n bimkubwa
Mdogo wangu sasa ndio alikuwa anataka kuweka 20 yule nampiga kofi, me nlikuwa sijui sasa kwenye stori na bimkubwa ndio akaniambia hiyo mipango nikawastopisha kwa lekcha moja matata sana.... Ujue vanilla tatizo lipo kwenye pollination mzee kila ua ili lioteshe kile kidude kama arage bich lazima lifanyiwe polination manually na lazima iwe asubuh sana, jua likitoka kama maua hayajafanyiwa pollination yanaanguka, inabidi usubiri mpaka mwaka mwingine, ni mtiti bwana mkubwa.... Nikipata time ntakuja kuwaeleza watu wajue namna ilivyo shughuli pevu
 
Aisee ni noma
 
Wapigwe Tu Tumechoka
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu Tuchape Kazi Huku Tukimtanguliza Mungu Mbele
By Mzilankende Mnyago Wa Chettle
 
Huyu Mkondya sasa kaibuka na nguruwe badala ya Vanilla na wajinga wamempa hela. Vilio vimeanza tayari
 
Yametimia.
 
Lilikuwa ni suala la muda tu. Yule tapeli Simon Mkondya hatimaye ananyea debe;-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…