Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

Biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza soko la kununulia mzigo na namna ya uuzaji mtaji wangu ni laki saba

yasini jawadu

Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
6
Reaction score
1
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.

1618231489853.png

Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Nenda mtaa Lumumba , karibu na Shinyanga hotel ndo maduka ya viatu vya jumla yapo, ukiweza nenda Uganda mizigo mingi kanda ya ziwa wanachukulia Kampala sema asa hv Korona imezingua.
 
Nenda mtaa Lumumba , karibu na Shinyanga hotel ndo maduka ya viatu vya jumla yapo, ukiweza nenda Uganda mizigo mingi kanda ya ziwa wanachukulia Kampala sema asa hv Korona imezingua.
We unafanya hii biashara au unafahamu tu maduka yalipo tu
 
Back
Top Bottom