Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la Mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Naombeni mawazo yenu wadau kuhusu biashara ya viatu vya kike kwa jiji la mwanza sehemu ya kununulia mzigo na namna nzuri ya kuuza kwa wepesi mtaji wangu ni laki Saba (700000) siishi nyumbani nimepanga.
Nenda mtaa Lumumba , karibu na Shinyanga hotel ndo maduka ya viatu vya jumla yapo, ukiweza nenda Uganda mizigo mingi kanda ya ziwa wanachukulia Kampala sema asa hv Korona imezingua.
Nenda mtaa Lumumba , karibu na Shinyanga hotel ndo maduka ya viatu vya jumla yapo, ukiweza nenda Uganda mizigo mingi kanda ya ziwa wanachukulia Kampala sema asa hv Korona imezingua.