Biashara ya viatu vya kike spesho

Biashara ya viatu vya kike spesho

Kiatu ushaona kinauzwa 3000 alafu unataka kisibanduke? la kuhusu kubanduka ni kweli itategemea unavaaje...ukiwa mtumiaji wa hivyo viatu inatakiwa ile stand ya viatu kwa hesabu za chini isipungue pea 30 yani nikimaanisha kiatu ukikivaa leo kukirudia ni mpaka mwezi ujao..Trust ME Mtaani lazima upendeze hata kama ni midosho ila utang'aa tu.

Kikubwa mjini umaridadi...Brands waachiwe kina nick minaj.

Kwa upande wa biashara hayo maviatu mazuri sana kuuza ki ufupi ukiwa na mtaji Ni biashara nzuri sana ya kuongeza mtaji kisha kutafuta biashara nyingine..

Sema mwamba unajua tumia fursa....kuonyesha chimbo gharama 5000 Aisee maisha yametupa akili ya ubunifu mkubwa sana.
mkuu mabovu hayo me nina mwaka mmoja hii biashara nina kesi kibao za kubanduka viatu kwa wateja hata mwezi havifikishi,sio vya buku tatu tu mpaka elfu kumi na tano mwendo kubanduka tu,halafu mteja ukishamuuzia atavaa hicho kiatu mpaka kwenye mvua,nimeachana navyo sahizi nachukua vya kimasai na vile vya dukani vya bei kuanzia elfu 20 kwa jumla haya ya bei chini mabovu unaweza kuchukua pc 10 hujauza tu pc tatu zinaachia ukirudisha wanakataa
 
nakubaliana na wewe mkuu...Sema kwa kuanzia mtu ambae hajawahi ffanya biashara ni biashara nzuri sana kwani haihitaji mtaji mkubwa...Lawama za wateja pia ni nzuri kwa ambao hawajawahi kuanza biashara wanatakiwa wawe na customer care nzuri.

ki ufupi hayo maviatu ni mabovu yanafaa kwa kufanyia biashara sio kuyatumiaa kwa mtu mpenda viatu vya kudumu
 
Inaonekana ujui hii biashara,wanawake wote unaowaona kaa kwenye stend ya bus asilimia 90%wanavaa viatu kuanzia 3500 mpaka 7000 kwa julma,hivyo unavyosema wewe unanunua 20kwa jumla labda wanavaa wa masaki kwa maana utawauzia kuanzia 25 na kuendelea, na hivyo kwa mtaani haviuziiki maana hata mimi nafanya hiyo biashara na ninamuda tu,wateja kila fashion ikiingia nawpaelekeaa na wala wajalalamika kwa namna yoyote ile kutokana wanajua bei yaviatu,kila siku wateja wangu wanazidi kuongeza pea kwa mujibu wa fashion.mchina anauza sana kila siku kutokana na hiyo bei, yote kwa yote wanaotaka kufanya hii biashara wafanye kwa maana inafaida,
IMG_20190625_084104.jpeg
IMG_20190625_084212.jpeg
IMG_20190625_084154.jpeg
IMG_20190625_084058.jpeg
IMG_20190625_084055.jpeg
IMG_20190625_084050.jpeg
IMG_20190625_084050.jpeg
IMG_20190625_084044.jpeg
IMG_20190625_084047.jpeg
IMG_20190625_084039.jpeg
 
nakubaliana na wewe mkuu...Sema kwa kuanzia mtu ambae hajawahi ffanya biashara ni biashara nzuri sana kwani haihitaji mtaji mkubwa...Lawama za wateja pia ni nzuri kwa ambao hawajawahi kuanza biashara wanatakiwa wawe na customer care nzuri.

ki ufupi hayo maviatu ni mabovu yanafaa kwa kufanyia biashara sio kuyatumiaa kwa mtu mpenda viatu vya kudumu
kweli mkuu vinauzika hata mimi nimeuza sana
 
Inaonekana ujui hii biashara,wanawake wote unaowaona kaa kwenye stend ya bus asilimia 90%wanavaa viatu kuanzia 3500 mpaka 7000 kwa julma,hivyo unavyosema wewe unanunua 20kwa jumla labda wanavaa wa masaki kwa maana utawauzia kuanzia 25 na kuendelea, na hivyo kwa mtaani haviuziiki maana hata mimi nafanya hiyo biashara na ninamuda tu,wateja kila fashion ikiingia nawpaelekeaa na wala wajalalamika kwa namna yoyote ile kutokana wanajua bei yaviatu,kila siku wateja wangu wanazidi kuongeza pea kwa mujibu wa fashion.mchina anauza sana kila siku kutokana na hiyo bei, yote kwa yote wanaotaka kufanya hii biashara wafanye kwa maana inafaida,View attachment 1138746View attachment 1138747View attachment 1138748View attachment 1138749View attachment 1138750View attachment 1138751View attachment 1138753View attachment 1138757View attachment 1138758View attachment 1138759
sikatai kama havina hela ila vinabanduka sana hasa sisi tunaokopesha vikibanduka jiandae kufikia hela yako kama umekopesha hulipwi hakuna hela kwenye vitu vibovu
 
Machimbo yakishatajwa humu mpaka ramani kupitia Uzi mmoja hivi unaitwa wafanyabiashara was mikoani mnaochukua mizigo kkoo,halafu hayo maviatu yanabanduka
Hata Kama yanabanduka lkn akina Dada wanayavaa sanaaaa....
 
Hudumaa inaendeleaa wakuuu. Chimbo lipo duka LA cello
 
Huduma inaendelea wakuu,waliopatiwa huduma,njooni mlete mrejesho. Karibu sanaaa
 
Wa mikoani,karibuni sanaa, kwetu uwaminifu ndio mtaji.
 
Huduma tunazozitoa ni:
Kukupeleka kwenye machimbo/maduka
Huduma ya kukununua mzigo na kukutumia mikoani, huduma ya kufanya utafiti wa bidhaa unazoiztak kwa kariakoo na masoko mengine, huduma ya ushauri wa kibiashara na chanagamoto zake, asanteni sana karibunu ndugu.
 
Huduma ya kukuonesha machimbo ya bidhaa 5000 ,
Huduma ya kukununulia mzigo mikoani na kukutumia kwenye basi ni 10000( usafiri ju yako), huduma ya kkufanyia utafiti wa bidhaa na bei zake kwa jumla ni 5000, huduma ya ushauri wa biashara ,changamoto zake namna ya kuanza na aina za viatu na mbinu za kupata soko ni 2000. Asanten
 
Karibuni ndugu zangu kwa wale ambao wanataka kufanya hii baishara
IMG-20190627-WA0015.jpeg
IMG_20190624_160954_949.jpeg
 
Ukiwa na laki na kuendelea unaweza kufanya hii biashara,usiogope njoo nitakushauri kwa kina na kwa utaalamu zaidi,,,nashauri mutokana na uzoefu nikilionao.
 
Kwa ushauri juu ya biashara hii karibu watsap au piga simu kwa namba za hapo juu.
 
Back
Top Bottom