TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Unaweza kufafanua zaidi Mkuu ?Zingatia
1 Usimamizi
2 Eneo
3 mtaji
Fanya uchunguzi wa bidhaa zipi zinatoka sana katika hardware pili angalia ushindani uliopo katika eneo unalotaka kufungua tatu kama kuna uwezekano wa kusimamia mwenyewe fanya ili kuepusha mambo kama wizi pamoja na kupata utendaji kazi halisi wa siku za mwanzo.... ukishindwa kumonitor financial income ya biashara yako kwa siku za ufunguzi itakupa shida sana siku za mbelenUnaweza kufafanua zaidi Mkuu ?
Kuwa wakala wa kiwanda deposit sh ngapi✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora.
Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda
Zinazopendwa zaidi
Alaf
Sunshare
Mabati Bomba
Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo
Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi .
At least nshawah KUUZA mbati wakati flan nimejifunza mambo kadhaa
mkuu kama utahitaji msimamizi au msaidizi naomba unichukueNafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar.
Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
Kama nafasi ipo na mtaji unao fungua na biashara ya tofali hapohapo. Usisahau mbao, mirunda, rangi, pipes na vifaa vya gypsumNafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar.
Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
Kama nafasi ipo na mtaji unao fungua na biashara ya tofali hapohapo. Usisahau mbao, mirunda, rangi, pipes na vifaa vya gypsum
Then fanya delivery. Delivery imenipa sana jina pia location nzuri.
Nimefanya hivyo nimeona mambo yanajipa nimepata jina na nimewa-outcompete wenzangu
Mteja akija namkamata site kuanzia msingi mpaka anapaua na finishing
Ijapokuwa sipo kwenye eneo la biashara muda wote kwa sababu ya majukumu mengine mara zote usimamizi na ukaguzi muhimu sana
Mauzo na stock ya kila siku, ya wiki, ya mwezi na kila robo ya mwaka (Jan-March; Apr-June; July-Sept; Oct-Dec) lazima yakaguliwe
Sorry mkuu hivi ukitaka kuwa wakala wa mabati masharti yao yakoje?✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora.
Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda
Zinazopendwa zaidi
Alaf
Sunshare
Mabati Bomba
Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo
Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi .
At least nshawah KUUZA mbati wakati flan nimejifunza mambo kadhaa
Tembelea 92 Hardware Buguruni na Kinyerezi Sekondary hawa huuza kwa jumlaSamahani naomba unisaidie vitu hivi
1. Machimbo ya bidhaa. Kuna bidhaa za kufata kkoo vitu vidogo dogo km makufuli, vitasa, bawaba, chimbo gan ni uhakika kkoo?
2. Bidhaa kubwa kubwa km gypsum board, marine, powder, bati na mbao unanunulia wap??
3. Me ni mgeni ktk biashaara hii. Nna miez 8 mpaka sasa. Ila nashindwa kujua namna ya kucalculate faida au hasara nnayoingiza kwa siku/wiki/mwezi.
Najua mauzo tuu leo nmeuza kiasi kadhaa. Ila kujua faida ni ngap ni mtihani.
Tembelea 92 Hardware Buguruni na Kinyerezi Sekondary hawa huuza kwa jumla
Tembelea Kamaka hawa wana vitu vingi sana kwa bei ya jumla
Tembelea Goodone Kariakoo
Tembelea Keko Ufundi kuna Monalisa
Kariakoo Makufuri tembelea Mitaa ya Lindi, Mchikichi, Swahili
Ukitaka jua faida na hasara
Tengeneza Excell Sheets za Bidhaa ulizonunua, bei yake, ukiuza andika mwisho utajua faida umepata kiasi gani, mzigo umebaki kiasi gani
Faida zake vip zawhawish✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora.
Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda
Zinazopendwa zaidi
Alaf
Sunshare
Mabati Bomba
Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo
Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi .
At least nshawah KUUZA mbati wakati flan nimejifunza mambo kadhaa
Mkuu tafadhali share uzoefu kidogo hapo kwenye kusimamia stock. Unatumia njia/mbinu zipi?Kama nafasi ipo na mtaji unao fungua na biashara ya tofali hapohapo. Usisahau mbao, mirunda, rangi, pipes na vifaa vya gypsum