Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Dar

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Dar

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Nafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar.

Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
 
Unaweza kufafanua zaidi Mkuu ?
Fanya uchunguzi wa bidhaa zipi zinatoka sana katika hardware pili angalia ushindani uliopo katika eneo unalotaka kufungua tatu kama kuna uwezekano wa kusimamia mwenyewe fanya ili kuepusha mambo kama wizi pamoja na kupata utendaji kazi halisi wa siku za mwanzo.... ukishindwa kumonitor financial income ya biashara yako kwa siku za ufunguzi itakupa shida sana siku za mbelen
 
✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora.
Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda
Zinazopendwa zaidi
Alaf
Sunshare
Mabati Bomba
Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo

Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi .

At least nshawah KUUZA mbati wakati flan nimejifunza mambo kadhaa
 
Kuwa wakala wa kiwanda deposit sh ngapi
 
Nafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar.

Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
Kama nafasi ipo na mtaji unao fungua na biashara ya tofali hapohapo. Usisahau mbao, mirunda, rangi, pipes na vifaa vya gypsum

Then fanya delivery. Delivery imenipa sana jina pia location nzuri.

Nimefanya hivyo nimeona mambo yanajipa nimepata jina na nimewa-outcompete wenzangu

Mteja akija namkamata site kuanzia msingi mpaka anapaua na finishing

Ijapokuwa sipo kwenye eneo la biashara muda wote kwa sababu ya majukumu mengine mara zote usimamizi na ukaguzi muhimu sana

Mauzo na stock ya kila siku, ya wiki, ya mwezi na kila robo ya mwaka (Jan-March; Apr-June; July-Sept; Oct-Dec) lazima yakaguliwe
 
Samahani naomba unisaidie vitu hivi
1. Machimbo ya bidhaa. Kuna bidhaa za kufata kkoo vitu vidogo dogo km makufuli, vitasa, bawaba, chimbo gan ni uhakika kkoo?

2. Bidhaa kubwa kubwa km gypsum board, marine, powder, bati na mbao unanunulia wap??

3. Me ni mgeni ktk biashaara hii. Nna miez 8 mpaka sasa. Ila nashindwa kujua namna ya kucalculate faida au hasara nnayoingiza kwa siku/wiki/mwezi.

Najua mauzo tuu leo nmeuza kiasi kadhaa. Ila kujua faida ni ngap ni mtihani.
 
✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora.
Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda
Zinazopendwa zaidi
Alaf
Sunshare
Mabati Bomba
Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo

Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi .

At least nshawah KUUZA mbati wakati flan nimejifunza mambo kadhaa
Sorry mkuu hivi ukitaka kuwa wakala wa mabati masharti yao yakoje?
 
Samahani naomba unisaidie vitu hivi
1. Machimbo ya bidhaa. Kuna bidhaa za kufata kkoo vitu vidogo dogo km makufuli, vitasa, bawaba, chimbo gan ni uhakika kkoo?

2. Bidhaa kubwa kubwa km gypsum board, marine, powder, bati na mbao unanunulia wap??

3. Me ni mgeni ktk biashaara hii. Nna miez 8 mpaka sasa. Ila nashindwa kujua namna ya kucalculate faida au hasara nnayoingiza kwa siku/wiki/mwezi.

Najua mauzo tuu leo nmeuza kiasi kadhaa. Ila kujua faida ni ngap ni mtihani.
Tembelea 92 Hardware Buguruni na Kinyerezi Sekondary hawa huuza kwa jumla

Tembelea Kamaka hawa wana vitu vingi sana kwa bei ya jumla

Tembelea Goodone Kariakoo

Tembelea Keko Ufundi kuna Monalisa

Kariakoo Makufuri tembelea Mitaa ya Lindi, Mchikichi, Swahili

Ukitaka jua faida na hasara

Tengeneza Excell Sheets za Bidhaa ulizonunua, bei yake, ukiuza andika mwisho utajua faida umepata kiasi gani, mzigo umebaki kiasi gani
 
Shukran mkuu... ntafanyia kazi
 
✓Bati zinatofautiana sokoni bei na ubora.
Wateja wanapenda ubora Ila wengi bei zinawashinda
Zinazopendwa zaidi
Alaf
Sunshare
Mabati Bomba
Dragon( japo Kuna mwaka walizingua kidogo

Kampuni zipo nyingi ni wewe kuomba uwe wakala wa kiwanda ni rahisi .

At least nshawah KUUZA mbati wakati flan nimejifunza mambo kadhaa
Faida zake vip zawhawish
 
Kama nafasi ipo na mtaji unao fungua na biashara ya tofali hapohapo. Usisahau mbao, mirunda, rangi, pipes na vifaa vya gypsum

Then fanya delivery. Delivery imenipa sana jina pia location nzuri.

Nimefanya hivyo nimeona mambo yanajipa nimepata jina na nimewa-outcompete wenzangu

Mteja akija namkamata site kuanzia msingi mpaka anapaua na finishing

Ijapokuwa sipo kwenye eneo la biashara muda wote kwa sababu ya majukumu mengine mara zote usimamizi na ukaguzi muhimu sana

Mauzo na stock ya kila siku, ya wiki, ya mwezi na kila robo ya mwaka (Jan-March; Apr-June; July-Sept; Oct-Dec) lazima yakaguliwe
Mkuu tafadhali share uzoefu kidogo hapo kwenye kusimamia stock. Unatumia njia/mbinu zipi?
 
Back
Top Bottom