Wakubwa nadhani wengi wameonyesha nia ya kuingia ubia, kwa watu wengi kiasi hiki basi ni ushauri wangu patengenezwe corporation na sio partnership. Hii corporation ni legal entity na inakuwa treated as a human katika dunia ya biashara.
Wale investor wote wanaotaka kuwekeza basi wapewe shares ambazo zitakuwa valued based on Asset za kampuni to liabilities za kampuni (book Value). Ina maana wewe mwenye biashara kama total asset yako kwa sasa ni million 10 na madeni yako ni million tano basi biashara yako ina worth 5M. sasa kama utatasema kampuni ina share 1000000 kwa sasa maana yake ni kwamba kila share utauza kwa shilling 5.. Kuna mambo mengi yanatumika kudetermine stock price and number of shares to be issued, hapa nakupa simple.
Sasa hawa investor watatengeneza board of director ya watu wa 5 ambao wao ndio watakuwa wanakutazama wewe kwa karibu sana sababu nategemea wewe ndio utakuwa executive officer sababu unaijua hii biashara. makubaliano yawe kwamba shares hazito ongezwa mpaka shareholders wote wakubaliane, au wapige kura. share holders watafaidika kwa dividends payout mwisho wa mwaka kama biashara is on profit. Valuation ya stock price ifanyike once a year, sababu nyinyi ni kampuni ndogo market haiwezi kudetermine price bali Book Value. Over period of time depend with growth mnaweza kufikia pahala market ika determine price. Ukiwekeza doesn't mean una power ya kufanya maamuzi base on either Capex or Opex. You can vote out executive director kama anacheza cheza. Nadhani you guys can take it to next level.
Mwisho, nataka mtu wa kupatner nae kwenye maswala ya ujenzi, na mpango mzima ni kuanzia na residential and local roads construction lakini growth potential ni kwenye kwenye cormercial buildings and highway. Nina uwezo wa kuacquire several assets which will show the strength in Balance sheet.
Nimekuwa kwenye corporate managament and business development kwa 5 years.
I have knowledge from Latin America to North Africa. Naitaji partner ambae tayari ana biashara ya ujenzi, and atleast ana cash flow ya 50Million TZSH kwa mwaka.
Asanteni.