Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Vifaa vya umeme au vifaa vinavyotumia umeme? Vitaje kwanza. Na unataka uuzie wapi mana kariakoo hiyo ni hela ya pango tuWakuuu nahitaji kufanya biashara ya kuuza vifaaa vya umeme duka la umeme ila mtaji wangu kma 13mil kuna washikaji wanasema ni ndogo ila kuna wanangu wengine wansema hyo ni nyingi sana kma nitakuwa na plan je niache niongezeee au nianze hivyo hivyo? Masaaada wa mawazo wajuzi naomba mnisaidie asanten wan JF
Bro si kariakoo ni mkoani huku vifaaa kma main switch bulb socket na kadhalika nahis umenipata mkuuu ushauri wako ni muhimu sanaVifaa vya umeme au vifaa vinavyotumia umeme? Vitaje kwanza. Na unataka uuzie wapi mana kariakoo hiyo ni hela ya pango tu
Hiyo mkoani unatoboa. Mkoa Gani kwanza?ushafnya research ya bei za huko? Mana muhimu ujue bei ya huko kwanza bei ya huku nitakuambiaBro si kariakoo ni mkoani huku vifaaa kma main switch bulb socket na kadhalika nahis umenipata mkuuu ushauri wako ni muhimu sana
Niko Dodoma NALA MKUUUHiyo mkoani unatoboa. Mkoa Gani kwanza?ushafnya research ya bei za huko? Mana muhimu ujue bei ya huko kwanza bei ya huku nitakuambia
Research yako ya huko inakwambuaje kuhusu bei?Niko dodoma NALA MKUUU
Mkuuu nakuomba nikufate Dm kma hutojali naomba namba zako za cm mkuu JF NI SEHEMU SAHIHIKam hiz
Picha hazifungukiKam hiz
Ukiwa mkoani nitakusidia kupata mzigo wako. Utanishukuru badae... Mana mm ni profeshino winga so, nakutaftia wadau unanipa mrejesho.Mkuuu nakuomba nikufate Dm kma hutojali naomba namba zako za cm mkuu JF NI SEHEMU SAHIHI
Picha hazifunguki