Ridomil gold
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 2,790
- 2,232
Wakuuu nahitaji kufanya biashara ya kuuza vifaaa vya umeme duka la umeme ila mtaji wangu kma 13mil kuna washikaji wanasema ni ndogo ila kuna wanangu wengine wansema hyo ni nyingi sana kma nitakuwa na plan je niache niongezeee au nianze hivyo hivyo?
Msaada wa mawazo wajuzi naomba mnisaidie asanten wanaJF
Msaada wa mawazo wajuzi naomba mnisaidie asanten wanaJF