Biashara ya vifaaa vya umeme (Electronics)

Biashara ya vifaaa vya umeme (Electronics)

Ridomil gold

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
2,790
Reaction score
2,232
Wakuuu nahitaji kufanya biashara ya kuuza vifaaa vya umeme duka la umeme ila mtaji wangu kma 13mil kuna washikaji wanasema ni ndogo ila kuna wanangu wengine wansema hyo ni nyingi sana kma nitakuwa na plan je niache niongezeee au nianze hivyo hivyo?

Msaada wa mawazo wajuzi naomba mnisaidie asanten wanaJF
 
Wakuuu nahitaji kufanya biashara ya kuuza vifaaa vya umeme duka la umeme ila mtaji wangu kma 13mil kuna washikaji wanasema ni ndogo ila kuna wanangu wengine wansema hyo ni nyingi sana kma nitakuwa na plan je niache niongezeee au nianze hivyo hivyo? Masaaada wa mawazo wajuzi naomba mnisaidie asanten wan JF
Vifaa vya umeme au vifaa vinavyotumia umeme? Vitaje kwanza. Na unataka uuzie wapi mana kariakoo hiyo ni hela ya pango tu
 
Vifaa vya umeme au vifaa vinavyotumia umeme? Vitaje kwanza. Na unataka uuzie wapi mana kariakoo hiyo ni hela ya pango tu
Bro si kariakoo ni mkoani huku vifaaa kma main switch bulb socket na kadhalika nahis umenipata mkuuu ushauri wako ni muhimu sana
 
Bro si kariakoo ni mkoani huku vifaaa kma main switch bulb socket na kadhalika nahis umenipata mkuuu ushauri wako ni muhimu sana
Hiyo mkoani unatoboa. Mkoa Gani kwanza?ushafnya research ya bei za huko? Mana muhimu ujue bei ya huko kwanza bei ya huku nitakuambia
 
Kam hiz
 

Attachments

  • IMG-20230707-WA0401.jpg
    IMG-20230707-WA0401.jpg
    65 KB · Views: 145
  • IMG-20230707-WA0402.jpg
    IMG-20230707-WA0402.jpg
    78.5 KB · Views: 138
  • IMG-20230707-WA0403.jpg
    IMG-20230707-WA0403.jpg
    78.3 KB · Views: 132
  • IMG-20230707-WA0400.jpg
    IMG-20230707-WA0400.jpg
    46.1 KB · Views: 108
  • IMG-20230707-WA0404.jpg
    IMG-20230707-WA0404.jpg
    51.3 KB · Views: 135
Mkuuu nakuomba nikufate Dm kma hutojali naomba namba zako za cm mkuu JF NI SEHEMU SAHIHI
Ukiwa mkoani nitakusidia kupata mzigo wako. Utanishukuru badae... Mana mm ni profeshino winga so, nakutaftia wadau unanipa mrejesho.
We can do more! Natafuta sana wadau wa mikoani. Pia Nina mpango wa kufungua kituo Cha wafanyabiashara kariakoo wananipa oda zao nawatafutia wadau na kuwatumia mzigo Yao Kwa uaminif kabisa.
0628731833
 
Back
Top Bottom