Biashara ya viungo vya chakula

Uzi wa Kwanza ushaanza biashara. Hata salamuuuu.

Haya swali....wewe ni mkulima au unauzia ukiwa wapi?
 
Kama una mzigo mkubwa...anza taratibu kwa kufunga ktk pkt ndogondogo ili uanze kutengeneza wateja na kujitangaza zaidi na baada ya muda utaweza kupata connection ya mzigo mkubwa....

Nipo kwenye hatua hiyo, ila mpaka sasa kunauwezekano wakukusanya mzigo mwingi wakuuza Jumla tatz cjui namna yakupata soko la jumla.
 
Hii biashara imenipa mafanikim makubwa sana ukiiona unaweza kuiyalau naifanya adi muda huu nipo soko la mawenzi Morogoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…