Biashara ya viungo vya chakula

Biashara ya viungo vya chakula

Joined
Apr 12, 2021
Posts
6
Reaction score
1
Habari,

Ninabiashara ya viungo vya chakula (spices) Iric, mdalasini, pilipili manga, karafuu , nauza kwa kilo nawezaje kupata soko lakuuza bidhaa hizi?

1618816402245.png

Zaidi soma: Wateja wapo wengi, Ongeza thamani ya kitu unachotaka kukiuza kabla hujakitangaza kukiuza
 
Uzi wa Kwanza ushaanza biashara. Hata salamuuuu.

Haya swali....wewe ni mkulima au unauzia ukiwa wapi?
 
Kama una mzigo mkubwa...anza taratibu kwa kufunga ktk pkt ndogondogo ili uanze kutengeneza wateja na kujitangaza zaidi na baada ya muda utaweza kupata connection ya mzigo mkubwa....

Nipo kwenye hatua hiyo, ila mpaka sasa kunauwezekano wakukusanya mzigo mwingi wakuuza Jumla tatz cjui namna yakupata soko la jumla.
 
Hii biashara imenipa mafanikim makubwa sana ukiiona unaweza kuiyalau naifanya adi muda huu nipo soko la mawenzi Morogoro.
 
Back
Top Bottom