Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuu kwa mchanganuo mzuri, mimi hapa nilipo bei ya jumla kwa vocha za 1000 ni 950 na za 500 ni 475 niko Arusha. Unaweza nielekeza wapi naweza pata vocha kwa bei za hapo? asanteNijuavyo kwa kila vocha ya 500/=faida ni 50/=
1000=100
2000=200
5000=500
10000=1000
20000=2000
Hadi 100000=10000 hizo ndio faida.kwa ushauri tu hii sio biasha ya kutengemea katika majukumu yako,ifanye tu ili kuvutia wateja dukani kwako
Pitia upya research yakoNijuavyo kwa kila vocha ya 500/=faida ni 50/=
1000=100
2000=200
5000=500
10000=1000
20000=2000
Hadi 100000=10000 hizo ndio faida.kwa ushauri tu hii sio biasha ya kutengemea katika majukumu yako,ifanye tu ili kuvutia wateja dukani kwako
Vocha ya 500 faida ni 25 kwa Bei ya dar maana inauzwa 475 na ya 1000 inauzwa 975Nijuavyo kwa kila vocha ya 500/=faida ni 50/=
1000=100
2000=200
5000=500
10000=1000
20000=2000
Hadi 100000=10000 hizo ndio faida.kwa ushauri tu hii sio biasha ya kutengemea katika majukumu yako,ifanye tu ili kuvutia wateja dukani kwako