Biashara ya voucher jumla

Biashara ya voucher jumla

sangas

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
135
Reaction score
95
Waungwana kwa mwenye ufahamu na uzoefu wa kuuza voacher za airtel,voda,tigo na zantel kwa jumla.

Mahali zinapopatikana,faida yake,na mahitaji ya mtaji ili uweze kusambaza katika maduka ya rejareja.return inakuwagaje?
 
Habaari mkuu! ijapokuwa ni post ya muda mrefu, nilitaka kujua kama ulifanikiwa kwa hili
 
Nijuavyo kwa kila vocha ya 500/=faida ni 50/=
1000=100
2000=200
5000=500
10000=1000
20000=2000
Hadi 100000=10000 hizo ndio faida.kwa ushauri tu hii sio biasha ya kutengemea katika majukumu yako,ifanye tu ili kuvutia wateja dukani kwako
 
Nashukuru mkuu kwa mchanganuo mzuri, mimi hapa nilipo bei ya jumla kwa vocha za 1000 ni 950 na za 500 ni 475 niko Arusha. Unaweza nielekeza wapi naweza pata vocha kwa bei za hapo? asante
 
Nijuavyo kwa kila vocha ya 500/=faida ni 50/=
1000=100
2000=200
5000=500
10000=1000
20000=2000
Hadi 100000=10000 hizo ndio faida.kwa ushauri tu hii sio biasha ya kutengemea katika majukumu yako,ifanye tu ili kuvutia wateja dukani kwako
Pitia upya research yako
 
Nijuavyo kwa kila vocha ya 500/=faida ni 50/=
1000=100
2000=200
5000=500
10000=1000
20000=2000
Hadi 100000=10000 hizo ndio faida.kwa ushauri tu hii sio biasha ya kutengemea katika majukumu yako,ifanye tu ili kuvutia wateja dukani kwako
Vocha ya 500 faida ni 25 kwa Bei ya dar maana inauzwa 475 na ya 1000 inauzwa 975
 
OK,lakini hii biashara nimeifanya miaka miwili imepita, kwahivyo sijajua mzunguko wa sasa ulivyo.nitakuwa nipo nyuma ya muda.
 
Back
Top Bottom