Biashara Yako Bado Haina Website? Wateja Wengi Wanakutafuta Mtandaoni na Hawakupati! Website Kamili Kwa Tsh 300,000 Tu

Biashara Yako Bado Haina Website? Wateja Wengi Wanakutafuta Mtandaoni na Hawakupati! Website Kamili Kwa Tsh 300,000 Tu

Kazi nzuri,
Naomba kuuliza utengenezaji wa website kwa matumizi ya NGO inayohusisha upokeaji wa fedha kupitia website hiyo.
Mfano ni zile website ambazo zinampa mtu fursa ya kujaza details zake za bank na mwishoni anamalizia kwa kuandika zile tarakimu 3 za kwenye cadi kisha mzigo unasoma kwenye account husika.
 
Kazi nzuri,
Naomba kuuliza utengenezaji wa website kwa matumizi ya NGO inayohusisha upokeaji wa fedha kupitia website hiyo.
Mfano ni zile website ambazo zinampa mtu fursa ya kujaza details zake za bank na mwishoni anamalizia kwa kuandika zile tarakimu 3 za kwenye cadi kisha mzigo unasoma kwenye account husika.
nimekuelewa vizuri sana una maanisha mtu aweze kuweka taarifa zake za kibenki na kufanya donation kwenye NGO husika unawezekana bila shida ina maana hapo inaongezeka payment processing ...

hiyo website inawezekana..ni kkuhakikisha hiyo NGO ni rasmi tayari imesajiliwa...maana zitahitajika documents za usajjili ili kuweka mfumo huo wa malipo

Tuwasilianee 0797870940
 
Habari wanajukwaa,

Leo nataka kuzungumzia jambo ambalo wafanyabiashara wengi bado wanalipuuzia lakini lina athari kubwa sana katika ukuaji wa biashara zao – kuwa na website ya biashara.

Watu wengi wanaamini kuwa Facebook, Instagram au WhatsApp zinatosha. Ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii ni muhimu, lakini website ndiyo makao makuu ya biashara yako mtandaoni.

Fikiria hali hii:
  • Mteja anasikia kuhusu biashara yako.
  • Anaenda Google kukutafuta.
  • Hakupati.
  • Anaona mshindani wako mwenye website nzuri.
  • Anawasiliana naye badala yako.
Huyo ni mteja ambaye umempoteza bila hata kujua.

Kwa Nini Kila Biashara Inahitaji Website?​

✔ Kuongeza uaminifu wa biashara

Wateja wengi huamini zaidi biashara yenye website kuliko inayotegemea ukurasa wa Facebook pekee.

✔ Kupatikana Google masaa 24 kwa siku

Website yako inafanya kazi hata ukiwa umelala.

✔ Kuonyesha bidhaa na huduma zako kitaalamu

Unaweza kuonyesha bidhaa, huduma, picha, video, bei na taarifa zote muhimu sehemu moja.

✔ Kupokea maombi ya wateja mtandaoni

Wateja wanaweza kujaza fomu za mawasiliano, kuomba huduma au kuagiza bidhaa moja kwa moja.

✔ Kujenga chapa (Brand)

Website inafanya biashara yako ionekane kubwa, rasmi na ya kuaminika zaidi.

✔ Kupanua soko

Mteja anaweza kukuona akiwa Dar es Salaam, Arusha, Mwanza au hata nje ya Tanzania.

Tunatengeneza Website za Aina Zote​

✅ Website za Kampuni

✅ Website za Logistic & Transport

✅ Website za NGO na Mashirika

✅ Website za Hotels & Lodges

✅ Website za Tours & Travel

✅ Website za Real Estate

✅ Website za Maduka ya Mtandaoni (E-commerce)

✅ Website za Shule na Taasisi

✅ Website za Professional Services

​

Bei Maalum​

Website Kamili = Tsh 300,000 Tu

Bei hii inajumuisha:

✔ Website Design

✔ Domain Name (Jina la Website)

✔ Hosting ya Mwaka Mzima

✔ Responsive Design (Simu, Tablet na Computer)

✔ Contact Forms

✔ WhatsApp Integration

✔ Basic SEO Setup

✔ Mafunzo ya matumizi ya website

Hakuna gharama zilizofichwa.

Muda wa Kukamilisha Website​

Moja ya maswali ambayo huulizwa mara nyingi ni website inachukua muda gani kukamilika?

Kwa kawaida, website nyingi hukamilika ndani ya:

⏱ Siku 3 hadi 7 za kazi

Muda hutegemea ukubwa na mahitaji ya website husika.
  • Website ndogo za kampuni au biashara ndogo: siku 3–5
  • Website za NGO, taasisi au mashirika: siku 5–7
  • Website za maduka ya mtandaoni (E-commerce) au miradi yenye kurasa nyingi: muda unaweza kuongezeka kidogo kulingana na idadi ya bidhaa na mahitaji maalum
Lengo letu ni kuhakikisha tunakuletea website yenye muonekano wa kisasa, inayofanya kazi vizuri kwenye simu na kompyuta, na inayowakilisha biashara yako kwa kiwango cha kitaalamu.

Baada ya kupokea maudhui muhimu (logo, picha, maelezo ya kampuni na huduma), kazi huanza mara moja na maendeleo ya mradi huwasilishwa hatua kwa hatua mpaka kukamilika.

Baadhi ya Kazi Nilizofanya Kupitia Wateja wa JamiiForums​

Nimebahatika kupata baadhi ya wateja kupitia JamiiForums na kutengeneza website zao, ikiwemo:
  • gpstanzania.co.tz
  • marafikilogistics.com
  • pas.co.tz
  • restoreherdream.co.tz
  • climatehubtz.org
Asanteni sana wanajukwaa wote ambao mmeendelea kuniamini na kunipendekeza kwa wengine.

Kama Huna Website Bado, Jiulize Maswali Haya:​

  • Mteja akikuta biashara yako Google leo ataona nini?
  • Unawezaje kushindana na biashara zinazopatikana mtandaoni?
  • Je, biashara yako inaonekana ya kitaalamu kiasi gani mbele ya wateja wapya?
Website si gharama, ni uwekezaji unaoweza kuleta wateja kwa miaka mingi ijayo. Kwa maelezo zaidi, ushauri au kuona baadhi ya kazi nilizofanya, unaweza kunitumia ujumbe wa PM hapa JamiiForums.

Mawasiliano
Ikiwa unahitaji website ya biashara, kampuni, NGO, shule, hoteli, tour company, logistics, real estate au duka la mtandaoni, usisite kuwasiliana nami.

📞 Call: 0797 870 940

📱 WhatsApp: 0797 870 940

✉️ SMS: 0797 870 940

Nipo tayari kukushauri bila malipo kuhusu aina ya website inayofaa kwa biashara yako na jinsi ya kuanza uwepo wa biashara yako mtandaoni.

Website Kamili Kuanzia Tsh 300,000 Tu
✔ Domain Name imejumuishwa
✔ Hosting imejumuishwa
✔ Mobile Friendly
✔ WhatsApp Integration
✔ SEO Setup ya Msingi
✔ Muda wa Kukamilisha: Siku 3–7

Karibu tujadili mahitaji ya biashara yako leo.
Karibu sana.
Vizuri sana, tunaweza kuongea. Niandikie
 
huduma ya website design bado inaendelea kwa 300,000 tu unapaata website, domain name nw hosting..hakuna mallipo ya kila mwezi
..kazi yako utaipata ndani ya siku 3 tu

0797870940 call/sms/whatsapp
 
nimekuelewa vizuri sana una maanisha mtu aweze kuweka taarifa zake za kibenki na kufanya donation kwenye NGO husika unawezekana bila shida ina maana hapo inaongezeka payment processing ...

hiyo website inawezekana..ni kkuhakikisha hiyo NGO ni rasmi tayari imesajiliwa...maana zitahitajika documents za usajjili ili kuweka mfumo huo wa malipo

Tuwasilianee 0797870940
Asante
 
Malipo mengine yapo ya kila mwaka na sio kila mwezi maana kila mwaka lazima kurenew jina la website na kulipia hostingya kuweka website yako hewani.. hayo malipo ya kila mwaka jumla ni 150,000 tu.
Unaitwa nani na unaishi wapi? Unaweza kunitumia website ambazo umeshazifanyia kazi hadi sasa hivi, kama vile hosting, Google speed (SEO). Tunaweza tukaonana kesho city center kama una muda? Tafadhali nifahamishe haraka iwezekanavyo.
 
Back
Top Bottom