Website Tanzania
JF-Expert Member
- Dec 3, 2020
- 822
- 416
- Thread starter
-
- #41
Mimi naishi dodoma boss.Unaitwa nani na unaishi wapi? Unaweza kunitumia website ambazo umeshazifanyia kazi hadi sasa hivi, kama vile hosting, Google speed (SEO). Tunaweza tukaonana kesho city center kama una muda? Tafadhali nifahamishe haraka iwezekanavyo.
Website nayotaka ni kwa ajili ya NGO, Hizo information nitakazokupa siwezi kuweka online, it is more sensitive kutoa hizo data. Kuna wafanyakazi wetu pia Dodoma na Arusha, kama utaweza kuwaona au kuwapigia itakuwa vizuri. Nifahamishe haraka.Mimi naishi dodoma boss.
sehemu kubwa ya wateja wangu tunafanya kazi remote ni wachache ambao tumeonana kwakuwa naishi dodoma.
kazi ambazo nimeshazifanya
www.pas.co.tz
www.fahatrading.co.tz
www.premierhotel.co.tz
www.nauzagari.com
www.marafikilogistics.com
www.restoreherdream.co.tz
www.gpstanzania.co.tz
suala la kuonana dar es salaam ni gumu kidogo naweza pokea mahitaji ya website yako na kuifanyia kazi remotely
nimelist kazi ambazo nimeshakamilishaUnaweza kutengeneza au huwezi, mbona unajivuta vuta sana. Kuna shida?
Mpka wakati huu sijabbahatika mteja wa ecommerce ila kazi za website za taasisi na kampuni zimekamilika. soko lla wateja wa ecommerce website ni chache sana...usikatishwe tamaaa na hao wanaokuletea habari za AI,
mimi nahitaji kuona Website za Maduka ya Mtandaoni (E-commerce) uliotengeneza
mimi nilitaka kujifunza kutoka kwako, nilianza kujifunza hizi mambo wenyewe muda sasaMpka wakati huu sijabbahatika mteja wa ecommerce ila kazi za website za taasisi na kampuni zimekamilika. soko lla wateja wa ecommerce website ni chache sana...
labda classified website kama hii www.nauzagari.com au hotel booking kama www.premierhotel.co.tz ila ecommerce ya bidhaa kama bidhaa bado sijapatta mteja ila naweza kutengeneza.
Nipe nafasi nikutengenezee wewe niambie unataka mfano wa website gani ya ecommerce
Yaani wewe kweli nikupe information sensitive za NGO yangu kwenye jamiiforums. Siwezi, inabidi tukae na uniambie kuwa habari zangu hazitavujishwa! Naona hunielewi, offcourse lazima niwe nakufahamu, nitajuaje uaminifu wako? Naona unaendelea kunichanganya....Ila kama hutaki basi nitatafuta mtu mwingine, siyo lazima nifanye kazi na wewe, kwa sababu hutaki kunielewa.nimelist kazi ambazo nimeshakamilisha
www.pas.co.tz
www.restoreherdream.co.tz
www.premierhotel.co.tz
www.nauzagari.com
www.gpstanzania.co.tz
www.fahatradingcentre.co.tz
www.dmandshea.co.tz
sasa sijui kwanini unaniuliza swali hilo.
Boss nimekupa mawasilliano nimekueleza namna ninavyofanya kazi.
umesema huwezi kunipa information kwa maana ni sensitive.
Hilo siwezi kukulazimisha ndio maana nipo kimya.
Wewe unahitaji kufanya kazi na mtu mnayefahamiana naye sijui nashindwa kukuelewa
sawa mkuu kila la kheriYaani wewe kweli nikupe information sensitive za NGO yangu kwenye jamiiforums. Siwezi, inabidi tukae na uniambie kuwa habari zangu hazitavujishwa! Naona hunielewi, offcourse lazima niwe nakufahamu, nitajuaje uaminifu wako? Naona unaendelea kunichanganya....Ila kama hutaki basi nitatafuta mtu mwingine, siyo lazima nifanye kazi na wewe, kwa sababu hutaki kunielewa.
Jina lako ni nani? Mbona unajificha?Mimi naishi dodoma boss.
sehemu kubwa ya wateja wangu tunafanya kazi remote ni wachache ambao tumeonana kwakuwa naishi dodoma.
kazi ambazo nimeshazifanya
www.pas.co.tz
www.fahatrading.co.tz
www.premierhotel.co.tz
www.nauzagari.com
www.marafikilogistics.com
www.restoreherdream.co.tz
www.gpstanzania.co.tz
suala la kuonana dar es salaam ni gumu kidogo naweza pokea mahitaji ya website yako na kuifanyia kazi remotely
sihitaji kufanya kazi yako vipi mzee hujishtukii mbona king'ang'aniziJina lako ni nani? Mbona unajificha?
Tusiwe tunaweka comment za kuharibu biashara za watu, kama hauko interested basi usi discourage ,Website sasa hivi AI inatengeneza kla namna unavyotaka iwe..jana kuna mdau katengneza ndani ya dakika kadhaa tu
Siyo lazıma ufanye Kazi yangu, siamini wewe kama ni binadamu. Labda AI.View attachment 3617710
PRIMUS II una siku 8 tu tokea ujiunge jamiiforums na unapost 8 tu zote ni kwenye uzi wangu unalazimisha nionane na wewe nakwambia sipo dar unasema mikoa yote una wafanyakazi wako nitaonana nao.
Nakwambia unipe information NGO yako unasema ni sensitive sasa info sensitive website ya nini wakati info za website ni public.
nimekwambia sihitajii kazi yako bado unakuja PM kunilazimisha
Huyu jamaa anayejiita WEBSITE TANZANIA ni muungo na pia yupo fake sana. Anajificha anasema anafanya kazi remotely ni muongo. Tahadharini na watu kama huyo. Hizo website anazodai amezifanya, hakufanya yeye, awaeleze ofisi zake zipo wapi? Mnaibiwa washikaji. Kuna business isiyo na ofisi? Huyo ni mtu tapeli anayejifanya anafanya business za kutengeneza website......NI MWONGO, HAFAI, MUEPUKENI KAMA UKOMA.usikatishwe tamaaa na hao wanaokuletea habari za AI,
mimi nahitaji kuona Website za Maduka ya Mtandaoni (E-commerce) uliotengeneza
NDUGU ZANGU WATANZANIA, MNATAPELIWA NA HUYO ANAYEJIITA WEBSITE TANZANIA, KWANZA NI FAKE, HAYUPO MTU KAMA HUYO, PILI ATAWAIBIA, HANA OFISI AU AFFILLIATIONS NA OFISI YOYOTE ILE. ANGALIA MSIIBIWE NDUGU ZANGU. HIZO WEBSITE ANAZODAI KATENGENEZA HAJATENGENEZA YEYE....PIGA SIMU KWENYE CONTACT UTAAMBIWA. NIMEMUULIZA ANAISHI WAPI AMEFICHA ILA ANATAKA ATUME PESA, NIMEMPIGIA SIMU HAPOKEI, ANAJIBU KWA MESSAGES KUWA YUPO DODOMA. AMEONEKANA MWANZA BAADA YA KUFUATILIA, NI MWIZI, MTAPOTEZA PESA ZENU. INAONEKANA PIA HIYO NAMBA YA SIMU ALIYOITOA SIYO YAKE. MBONA ANAJIFICHA.......NI FEKI. OGOPA HUYO AMBAYE HATA JINA LAKE AMEFICHA.Habari wanajukwaa,
Leo nataka kuzungumzia jambo ambalo wafanyabiashara wengi bado wanalipuuzia lakini lina athari kubwa sana katika ukuaji wa biashara zao – kuwa na website ya biashara.
Watu wengi wanaamini kuwa Facebook, Instagram au WhatsApp zinatosha. Ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii ni muhimu, lakini website ndiyo makao makuu ya biashara yako mtandaoni.
Fikiria hali hii:
Huyo ni mteja ambaye umempoteza bila hata kujua.
- Mteja anasikia kuhusu biashara yako.
- Anaenda Google kukutafuta.
- Hakupati.
- Anaona mshindani wako mwenye website nzuri.
- Anawasiliana naye badala yako.
Kwa Nini Kila Biashara Inahitaji Website?
✔ Kuongeza uaminifu wa biashara
Wateja wengi huamini zaidi biashara yenye website kuliko inayotegemea ukurasa wa Facebook pekee.
✔ Kupatikana Google masaa 24 kwa siku
Website yako inafanya kazi hata ukiwa umelala.
✔ Kuonyesha bidhaa na huduma zako kitaalamu
Unaweza kuonyesha bidhaa, huduma, picha, video, bei na taarifa zote muhimu sehemu moja.
✔ Kupokea maombi ya wateja mtandaoni
Wateja wanaweza kujaza fomu za mawasiliano, kuomba huduma au kuagiza bidhaa moja kwa moja.
✔ Kujenga chapa (Brand)
Website inafanya biashara yako ionekane kubwa, rasmi na ya kuaminika zaidi.
✔ Kupanua soko
Mteja anaweza kukuona akiwa Dar es Salaam, Arusha, Mwanza au hata nje ya Tanzania.
Tunatengeneza Website za Aina Zote
✅ Website za Kampuni
✅ Website za Logistic & Transport
✅ Website za NGO na Mashirika
✅ Website za Hotels & Lodges
✅ Website za Tours & Travel
✅ Website za Real Estate
✅ Website za Maduka ya Mtandaoni (E-commerce)
✅ Website za Shule na Taasisi
✅ Website za Professional Services
Bei Maalum
Website Kamili = Tsh 300,000 Tu
Bei hii inajumuisha:
✔ Website Design
✔ Domain Name (Jina la Website)
✔ Hosting ya Mwaka Mzima
✔ Responsive Design (Simu, Tablet na Computer)
✔ Contact Forms
✔ WhatsApp Integration
✔ Basic SEO Setup
✔ Mafunzo ya matumizi ya website
Hakuna gharama zilizofichwa.
Muda wa Kukamilisha Website
Moja ya maswali ambayo huulizwa mara nyingi ni website inachukua muda gani kukamilika?
Kwa kawaida, website nyingi hukamilika ndani ya:
⏱ Siku 3 hadi 7 za kazi
Muda hutegemea ukubwa na mahitaji ya website husika.
Lengo letu ni kuhakikisha tunakuletea website yenye muonekano wa kisasa, inayofanya kazi vizuri kwenye simu na kompyuta, na inayowakilisha biashara yako kwa kiwango cha kitaalamu.
- Website ndogo za kampuni au biashara ndogo: siku 3–5
- Website za NGO, taasisi au mashirika: siku 5–7
- Website za maduka ya mtandaoni (E-commerce) au miradi yenye kurasa nyingi: muda unaweza kuongezeka kidogo kulingana na idadi ya bidhaa na mahitaji maalum
Baada ya kupokea maudhui muhimu (logo, picha, maelezo ya kampuni na huduma), kazi huanza mara moja na maendeleo ya mradi huwasilishwa hatua kwa hatua mpaka kukamilika.
Baadhi ya Kazi Nilizofanya Kupitia Wateja wa JamiiForums
Nimebahatika kupata baadhi ya wateja kupitia JamiiForums na kutengeneza website zao, ikiwemo:
Asanteni sana wanajukwaa wote ambao mmeendelea kuniamini na kunipendekeza kwa wengine.
- gpstanzania.co.tz
- marafikilogistics.com
- pas.co.tz
- restoreherdream.co.tz
- climatehubtz.org
Kama Huna Website Bado, Jiulize Maswali Haya:
Website si gharama, ni uwekezaji unaoweza kuleta wateja kwa miaka mingi ijayo. Kwa maelezo zaidi, ushauri au kuona baadhi ya kazi nilizofanya, unaweza kunitumia ujumbe wa PM hapa JamiiForums.
- Mteja akikuta biashara yako Google leo ataona nini?
- Unawezaje kushindana na biashara zinazopatikana mtandaoni?
- Je, biashara yako inaonekana ya kitaalamu kiasi gani mbele ya wateja wapya?
Mawasiliano
Ikiwa unahitaji website ya biashara, kampuni, NGO, shule, hoteli, tour company, logistics, real estate au duka la mtandaoni, usisite kuwasiliana nami.
📞 Call: 0797 870 940
📱 WhatsApp: 0797 870 940
✉️ SMS: 0797 870 940
Nipo tayari kukushauri bila malipo kuhusu aina ya website inayofaa kwa biashara yako na jinsi ya kuanza uwepo wa biashara yako mtandaoni.
Website Kamili Kuanzia Tsh 300,000 Tu
✔ Domain Name imejumuishwa
✔ Hosting imejumuishwa
✔ Mobile Friendly
✔ WhatsApp Integration
✔ SEO Setup ya Msingi
✔ Muda wa Kukamilisha: Siku 3–7
Karibu tujadili mahitaji ya biashara yako leo.
Karibu sana.
😂😂😂😂NDUGU ZANGU WATANZANIA, MNATAPELIWA NA HUYO ANAYEJIITA WEBSITE TANZANIA, KWANZA NI FAKE, HAYUPO MTU KAMA HUYO, PILI ATAWAIBIA, HANA OFISI AU AFFILLIATIONS NA OFISI YOYOTE ILE. ANGALIA MSIIBIWE NDUGU ZANGU. HIZO WEBSITE ANAZODAI KATENGENEZA HAJATENGENEZA YEYE....PIGA SIMU KWENYE CONTACT UTAAMBIWA. NIMEMUULIZA ANAISHI WAPI AMEFICHA ILA ANATAKA ATUME PESA, NIMEMPIGIA SIMU HAPOKEI, ANAJIBU KWA MESSAGES KUWA YUPO DODOMA. AMEONEKANA MWANZA BAADA YA KUFUATILIA, NI MWIZI, MTAPOTEZA PESA ZENU. INAONEKANA PIA HIYO NAMBA YA SIMU ALIYOITOA SIYO YAKE. MBONA ANAJIFICHA.......NI FEKI. OGOPA HUYO AMBAYE HATA JINA LAKE AMEFICHA.
nishakwambia sitaki kufanya kazi yako mbona king'ang'anizi..😂😂😂NDUGU ZANGU WATANZANIA, MNATAPELIWA NA HUYO ANAYEJIITA WEBSITE TANZANIA, KWANZA NI FAKE, HAYUPO MTU KAMA HUYO, PILI ATAWAIBIA, HANA OFISI AU AFFILLIATIONS NA OFISI YOYOTE ILE. ANGALIA MSIIBIWE NDUGU ZANGU. HIZO WEBSITE ANAZODAI KATENGENEZA HAJATENGENEZA YEYE....PIGA SIMU KWENYE CONTACT UTAAMBIWA. NIMEMUULIZA ANAISHI WAPI AMEFICHA ILA ANATAKA ATUME PESA, NIMEMPIGIA SIMU HAPOKEI, ANAJIBU KWA MESSAGES KUWA YUPO DODOMA. AMEONEKANA MWANZA BAADA YA KUFUATILIA, NI MWIZI, MTAPOTEZA PESA ZENU. INAONEKANA PIA HIYO NAMBA YA SIMU ALIYOITOA SIYO YAKE. MBONA ANAJIFICHA.......NI FEKI. OGOPA HUYO AMBAYE HATA JINA LAKE AMEFICHA.
Halafu eti ana NGO na huyu ..aiseeeHuyu jamaa anayejiita WEBSITE TANZANIA ni muungo na pia yupo fake sana. Anajificha anasema anafanya kazi remotely ni muongo. Tahadharini na watu kama huyo. Hizo website anazodai amezifanya, hakufanya yeye, awaeleze ofisi zake zipo wapi? Mnaibiwa washikaji. Kuna business isiyo na ofisi? Huyo ni mtu tapeli anayejifanya anafanya business za kutengeneza website......NI MWONGO, HAFAI, MUEPUKENI KAMA UKOMA.