Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,146
Reaction score
371
Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri.

🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili.

🔹Maduka yanapatikana kuanzia:
• Ground Floor
• First Floor
• Second Floor
🔹 Ukubwa tofauti kulingana na mahitaji yako
🔹 Bei rafiki kulingana na nafasi:
• Magori – kuanzia TZS 300,000
• Maduka – kuanzia TZS 600,000 hadi 1,200,000
✨ Pia kuna:
âś” Nafasi za Ofisi
âś” Warehouse / Stores kwa ajili ya kuhifadhi bidhaa zako
Hii siyo tu sehemu ya biashara… ni mazingira yatakayokupa nafasi ya kukua, kuvutia wateja zaidi, na kuongeza mapato yako.

📞 Wasiliana nasi sasa: 0784 225 000
Usikose nafasi hii adimu Kariakoo – maeneo yanaenda haraka!

 
Back
Top Bottom