Kumbuka kuna wenzako tayari wako kwenye hiyo laini.. Itakuchukua muda kidogo lakini tumia mbinu za kuvutia wateja Kama kupunguza bei kidogo nkHabari wakuu!
Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii.
Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari.
Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka sana tu.
Lakini cha kusikitisha toka niifungue hii biashara yapata siku tano zilizopita nimeuza only 3 items, mfano jana sijauza kitu kabisa.
So niko dilemma, Je nimepotea njia au tatizo ni nini wakuu au ni hali ya kawaida kwa biashara mpya?
Jaribu pia kucheza na mafundi garage , ili ujipatie wateja kupitia waoHabari wakuu!
Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii.
Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari.
Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka sana tu.
Lakini cha kusikitisha toka niifungue hii biashara yapata siku tano zilizopita nimeuza only 3 items, mfano jana sijauza kitu kabisa.
So niko dilemma, Je nimepotea njia au tatizo ni nini wakuu au ni hali ya kawaida kwa biashara mpya?
Ungekuwa na fundi awe anafanya huduma hapohapo kuliko mtu anunue na kwenda tena kutafuta fundiHabari wakuu!
Nimefungua biashara ndogo ya mtaji wa kama 7.5m hivi. Biashara nimeifungua rasmi Jumatatu ya week hii.
Biashara yangu inadeal na uuzaji wa vitu kama battery za magari, oil na matairi ya magari.
Location ya biashara iko eneo zuri tu la barabarani na uzuri zaidi eneo limechangamka sana tu.
Lakini cha kusikitisha toka niifungue hii biashara yapata siku tano zilizopita nimeuza only 3 items, mfano jana sijauza kitu kabisa.
So niko dilemma, Je nimepotea njia au tatizo ni nini wakuu au ni hali ya kawaida kwa biashara mpya?
Bado mapema sana Kaka Wacha pressureHabari wakuu!

Bado mapema sana Kaka Wacha pressure
Tatizo hiyo biashara unaitegemea Kwa mahitaji yako ya Kila siku ndio maana unaumiza kichwa kitu ambacho ni hatari
Jaribu kurelax.
AsanteKwa upande was masoko huwa kuna kitu tunaita pricing strategies(mikakati ya upangiliaji wa Bei ) zipo kama nne
Naomba kuongelea mbili Kama msaada kwako
New product pricing strategy( mkakati wa upangilio wa bei kwa bidhaa mpya au kwa biashara mpya )
Market skimming pricing ( hii inaeleza kwamba Mara nyingi mtu napoanza biashara lazima vitu vyake viwe na Bei kubwa Sana to skim (kucover ) hela ya TRA ,Kodi ya chumba ,uchafu, umeme na nk
Faida ya hii nikwamba inasaidia biashara kusimama ,kuepuka hasara pia kupata faida kwa wakati mfupii
Hasara ya hii njia mzunguko unakuwa mdogo na muda mwingine hamna biashara kabisaa
Marketing penetration price hii ni njia ambayo mfanya biashara anaingia sokonii na Bei ndogo lengo nikupenya kwenye soko na kuwa na wateja wengii
Faida ya hii utakuwa na wateja wengi pia utakuwa na mzunguko mkubwa wa biashara na faida itakuwepo lkn sio kubwa sana
Hasara ya hii faida yake nikidogo na inachukua muda kuionna faida
Note hii njia ni nzurii pia mbeleni inakupa uwanja wa kuweza kuongeza Bei kidogo kidogo bila wateja kushituka (pricing adjustment )
Hapa na haba. Hujaza kibaba bro
Dah!!!,We jamaa noma sana, yaani siku tano tu unataka biashara ifanye vizuri!!!,Kuwa mpole kwanza, biashara umeifungua saiti nzuri sawa,lkn Kumbuka kuna muda wa wateja kukuzoea Kwanza,jipe moyo biashara ndivyo zilivyo, MUNGU mkubwa utatoboa tu.Habari wakuu!