chiefnyumbanitu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 906
- 426
- Thread starter
-
- #41
aiseee....... utatumbuliwa tuMkuu sisi tunamshukuru Mungu baada ya ujio wa JPM mambo yamekuwa mazuri zaidi.
Sasa hivi tunanywea bia kwenye vibaa vyetu vya uchochoroni.Hahaaaa huku ni kuisoma namba sikuhizi bar kweupe kweli hali ngumu tutanyooka tu bila kupenda
Mzunguko wa kifesha ni hewa tupu..hakuna msukuma wa matumizi...!!! wote mkuudaa! au ndio tunatumbuliwa pia
Hahaaaa mtu anakunywa bia moja two hours kweli mumenyooka bar kweupe yani kila RAIA anaisoma number kwa style yake biashara zimedoda. Ama kweli kufa kufaanaSasa hivi tunanywea bia kwenye vibaa vyetu vya uchochoroni.
Tumekuwa wapoleeee...
Yaani ukienda bar, Maji ya uhai kwa sana.Hahaaaa mtu anakunywa bia moja two hours kweli mumenyooka bar kweupe yani kila RAIA anaisoma number kwa style yake biashara zimedoda. Ama kweli kufa kufaana
Yani watu watia huruma mno sasa anayetegemea biashara tu na sasa watu hawanunui unnessesary goods sijui wata survive vipi. Soko ya vyakula vtu vimeshuka kiasi ila wanunuzi napo wakubahatisha. Kweli kuisoma number si mchezoYaani ukienda bar, Maji ya uhai kwa sana.
Home napo friji lipo leupe. Unajaza vitu vya siku mbili tatu tu. Friji limejaa maji ya kunywa.
Serious, hali ni tete sana.
safi saanaTunaisoma namba mkuu
Sasa hivi nyanya, kabeji, hoho tunapanda kwenye bustani hapa nyumbani. Maua tupa kule.Yani watu watia huruma mno sasa anayetegemea biashara tu na sasa watu hawanunui unnessesary goods sijui wata survive vipi. Soko ya vyakula vtu vimeshuka kiasi ila wanunuzi napo wakubahatisha. Kweli kuisoma number si mchezo
Nilikuwa kwa siku na wastani wa kuuza masanduku 7 hadi 8 haijalishi ni weekend ama siku za kazi. Sasa hivi nikamaliza masanduku matatu nashukuru Mungu.Hahaaaa mtu anakunywa bia moja two hours kweli mumenyooka bar kweupe yani kila RAIA anaisoma number kwa style yake biashara zimedoda. Ama kweli kufa kufaana
Mkuu namaanisha biashara za vyakula zina nafuu kidogo kwa kutoka kwani ni lazima watu wale hata kama ni mlo 1 ukilinganisha na bidhaa kama nguo, vifaa vya ujenzi wakati wa kufunga mkanda.
Mpaka mnyooke! Vijana wa leo mlikuwa mnashinda Kwny Mitandao kumtukana kikwete na kusifia Utawala wa Nyerere tulikuwa tukiwaeleza hali ilivyokuwa wakati wa Mwl hamkuwa mkielewa sasa nashukuru sana Mtoto wa Chato anaturudisha kwny Maisha mliyokuwa mnasifia.
Una akili Sana, unajua kuangaliainaonekana wewe sio mfanyabiashara unataka kumpoteza mwenzako.
afungue biashara ya chakula inamaanisha ni mtaji mpya unatakiwa. new location. new idea new customers. unajua garama za vitu vyote hivyoo. naukumbuke hata kwenye chakula demand imepungua.
Hii mpya yeuwiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeKwa wale wanao mtegemea Mwenyezi mungu huwa hawawazi kuyumba kwa biashara,ila wale wanaoenda kwa waganga ili wafanye biashara,kazi ikiyumba wanakuwa na wasiwasi labda wamekosea mashariti
Yeuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiie auwiiiiiiiiiiiiiiiiie yeuwiiiiiiiiiiiiiiiHuu ni mda wa tumbuatumbua pesa haukuna .mda sio mrefu baadhi ya mabenk yatafungasha virago