Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
usijali, siyo wewe tu !! HIYO HAUPO PEKEE YAKO robotatu ya Biashara zimedoda...Biashara yangu inayumba siku hadi siku
Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana
Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu