Biashara yangu imedorora sana, hali hii ni kwangu tu au wote?

Biashara yangu inayumba siku hadi siku
Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana

Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu
usijali, siyo wewe tu !! HIYO HAUPO PEKEE YAKO robotatu ya Biashara zimedoda...
 
Biashara yangu inayumba siku hadi siku.

Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana

Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu
mkuu mtaani pesa zimeadimika...cjui ndo znaelekea panama!
 
Usilitaje bure jina la Mungu wako!..... Ni amri ya ngapi vile??
 
Duuuh huwa najiuliza nikimuona mtu anakaa baa kipindi hiki kuzitumbua labda wenzetu biashara zao hazijaguswa na huyu jamaa AU KUJIPOZA MAUMIVU
 
Biashara yangu inayumba siku hadi siku.

Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana

Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu
Hela ndo ujuwe imepanda thamani, hapo awali laki tano upatikanaji wake ni easy lakini ukienda dukani kufanya manunuzi haibaki chenji, kama kuna wana uchumi humu walio bobea wanaweza kukupa tafsiri ya hiyo..
 
hela kupanda thamani, maana yake pesa kidogo inunue vitu vingi. Sio kudolola kwa biashara
 
Jamaa amekaza sana

Na bado..hali itazidi kuwa mbaya zaidi cz wafadhili wengi watajitoa soon wakati serikali ikiwa haijajipanga.

Ushauri wangu:
tuweke akiba. Matumizi yasio ya lizima tuepukane nayo.
Kwa sasa Nchi yetu inapita katika kipindi kigumu kuwahi kutokea. Na sijui kita last kwa muda gani.
 
Tangu majipu yaanze kutumbuliwa akina Masamaki hawatapanyi tena pesa
 
Tunashukuru WA mama wanyumbani waume wanarudi mapema home naona vimada na pombe avina nafasi tunaheshimiana sasa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom