Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa mkuu. Kwani hiyo unamshauri asome elimu YA chuo kikuu youtube? Mimi nilishauri asome open university, Unaona youtube ni Bora zaidi sio? Manake biashara yake inamuingizia kipato cha kutosha kabisa.
(Halafu kusoma na kufaulu shule sio kutokuwa mjinga. Mukulu ameteua mawaziri wenye PhD na Kasema kitu kama vile ni wapuuza flani hivi).
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mkuu upo pazuri sana kuajiriwa sio kuzuri ni utumwa tu, mi mwenyewe kuna mtego wa 30m nikifanikiwa kuzipata ntakuja kuwaomba ushauri nizifanyie nn ili ninyanyuke kibiashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mawazo ya kitoto mkuu,Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu nashukuru kwa ushauri wako.
Usiendelee kuzifatilia kama bado hujajua utazifnyia nini, ziache ziende mkuu.
Asante kwa ushauri wako. NimekielewaYesuu!! Dogo amenikera tu anovofikiri eti akasome ili tu atembelee STK ! Kha! Yaani hutaki kutembelea STK yako utakayopata kutokan na Biashara zako untaka ya Magufuli ankupa funguo anabaki na masterkey akitaka Gari yake anaagiza uirudishe popote ulipo aseee???? Sijakuelewa kabsaaa!! He? Kwanza elewa hakuna kitu kibaya dunian kama kuruhusu MTU mwingie kufikiri badala yako. This is a great mistake and never dare! Wenzio wanatamani kufanana na wew halaf wew unafanya masihara? Komaaa na Biashara simama mwenyewe panua wigo STK ni malengo yako. Ukiktaka kusoma usiisomee STK some a changamoto za hich o ufanyacho na namna ya kutatua. Vinginrvyo unaanza kuruhusu watu wenginr waanze kufikiria unatakiwa kupata mshahara, unaugua ,una tumbuliwa una hili una lile yote ya nini??? Think twice
Sent using Jamii Forums mobile app
youtube ni bora sababu unasikiliza lecturez za best university bila kulipa school fees...
unasikiliza ma proff wa havard, yale, oxford, ile elimu inayokupa maarifa kichwani tofauti na open watakutoza ada kubwa ambayo ungeiwekeza kwenye mtaji zaidi..
mtu ambaye hana wazo la kuajiriwa wala hataki uteuzi... mfano mengi au mafuruki unafikiri anawaza kuteuliwa uwaziri.. ujaona mtanzania amekataa mshahara wa milion 300 na kurudi tz from stanford university....
ukiwa unawaza kujiajiri na una nia hata uceo wala uwaziri hutautaka..
mawaziri kibao wamepewa hela na mjinga mmoja aliejiajiri na kutingisha nchi...
rugemalira kagawa bilioni hazizidi 10 kwa wanasiasa nchi imetingishika... huku rugemalira mwenyewe amepiga bilion zaidi ya 70 na hata masters hana ila ma prof wameenda muomba hela
Wakati ukiendelea kupanua Biashara yako ili ufanikiwe zaidi, kumbuka pia kuwekeza kwenye kumjua Mungu na kuwa Mcha Mungu. Mafanikio yanakuwa na maanza zaidi iwapo utakuwa na hekima na busara za namna ya kukabiliana na changamoto za kupata pesa nyingi. Hekima hizo hazitoki pengine, ila kwa Mungu pekee.! Nakutakia mafanikio mema.ASANTENI NYOTE MLIOCHANGIA NA KUNISHAURI.
USHAURI WENU NIMEUELEWA NA KUUZINGATIA, SASA NAJIKITA RASIMI KWENYE BIASHARA YANGU ILI NIMILIKI ASSETS ZANGU MWENYEWE,. ELIMU NILIYONAYO YA KIDATO CHA SITA INANITOSHA.
NGOJA NIPANUE WIGO WA BIASHARA YANGU, ELIMU YA DARASANI NA MIMI SASA BASI.
Asante sana JF Asanteni sana member wa JF.
MUNGU AWABARIKI SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni laki mbili kwa mwezi siyo kwa siku.Huwezi linganisha elimu na hela...ukifanya hivyo utakuwa kichaaa....nenda shule elimu ni Mali kuliko hiyo laki 2 kwa siku
Elimu ninayo lakin.Mungu a alipo tuambia tusome Elimu kwwnza sio kwamba hakuiona biashara......
AsanteWakati ukiendelea kupanua Biashara yako ili ufanikiwe zaidi, kumbuka pia kuwekeza kwenye kumjua Mungu na kuwa Mcha Mungu. Mafanikio yanakuwa na maanza zaidi iwapo utakuwa na hekima na busara za namna ya kukabiliana na changamoto za kupata pesa nyingi. Hekima hizo hazitoki pengine, ila kwa Mungu pekee.! Nakutakia mafanikio mema.