Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiendelea kuwaza STK za watu hutatoboa maisha..
21757_4627442442184_1382705814_n-jpg.84981

Kuwa na mawazo ya kumiliki hiki kitu.. Ni kuendelea kujiajiri na syo kuajiriwa...

Range-Rover-Velar-2017-silver-SUV-press-image-%25285%2529.jpg
 
youtube ni bora sababu unasikiliza lecturez za best university bila kulipa school fees...

unasikiliza ma proff wa havard, yale, oxford, ile elimu inayokupa maarifa kichwani tofauti na open watakutoza ada kubwa ambayo ungeiwekeza kwenye mtaji zaidi..

mtu ambaye hana wazo la kuajiriwa wala hataki uteuzi... mfano mengi au mafuruki unafikiri anawaza kuteuliwa uwaziri.. ujaona mtanzania amekataa mshahara wa milion 300 na kurudi tz from stanford university....

ukiwa unawaza kujiajiri na una nia hata uceo wala uwaziri hutautaka..

mawaziri kibao wamepewa hela na mjinga mmoja aliejiajiri na kutingisha nchi...

rugemalira kagawa bilioni hazizidi 10 kwa wanasiasa nchi imetingishika... huku rugemalira mwenyewe amepiga bilion zaidi ya 70 na hata masters hana ila ma prof wameenda muomba hela

Uko sahihi kabisa mkuu. Kwani hiyo unamshauri asome elimu YA chuo kikuu youtube? Mimi nilishauri asome open university, Unaona youtube ni Bora zaidi sio? Manake biashara yake inamuingizia kipato cha kutosha kabisa.

(Halafu kusoma na kufaulu shule sio kutokuwa mjinga. Mukulu ameteua mawaziri wenye PhD na Kasema kitu kama vile ni wapuuza flani hivi).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe mkuu upo pazuri sana kuajiriwa sio kuzuri ni utumwa tu, mi mwenyewe kuna mtego wa 30m nikifanikiwa kuzipata ntakuja kuwaomba ushauri nizifanyie nn ili ninyanyuke kibiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiendelee kuzifatilia kama bado hujajua utazifnyia nini, ziache ziende mkuu.
 
Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha mawazo ya kitoto mkuu,
Mpaka umri huo kweli ndoto yako ni kutembelea STK?

Hiyo ada uliyokusanya itumie kuanzisha mradi mwingine. Utajiri ni kua na multiple sources of income.

Lakini pia unaweza kukuza mtaji wa hiyo biashara yako ya awali ili ikuletee kipato kikubwa.

Jitahidi kujenga miradi yako iweze kujisimamia na kujiendesha bila uwepo wako.

Zuckerberg (billionaire wa Facebook) amekua tajiri namba sita duniani ndo akarudi kumalizia chuo. Wewe hapo ulipo ni padogo mno!

Tafuta pesa, alafu tafuta pesa, ukimaliza tafuta tena pesa!

- KANA -
 
Yesuu!! Dogo amenikera tu anovofikiri eti akasome ili tu atembelee STK ! Kha! Yaani hutaki kutembelea STK yako utakayopata kutokan na Biashara zako untaka ya Magufuli ankupa funguo anabaki na masterkey akitaka Gari yake anaagiza uirudishe popote ulipo aseee???? Sijakuelewa kabsaaa!! He? Kwanza elewa hakuna kitu kibaya dunian kama kuruhusu MTU mwingie kufikiri badala yako. This is a great mistake and never dare! Wenzio wanatamani kufanana na wew halaf wew unafanya masihara? Komaaa na Biashara simama mwenyewe panua wigo STK ni malengo yako. Ukiktaka kusoma usiisomee STK some a changamoto za hich o ufanyacho na namna ya kutatua. Vinginrvyo unaanza kuruhusu watu wenginr waanze kufikiria unatakiwa kupata mshahara, unaugua ,una tumbuliwa una hili una lile yote ya nini??? Think twice

Asante kwa ushauri wako. Nimekielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.
Unafahamu ada ya open university ni sh ngapi, Kwa wastani tu?
youtube ni bora sababu unasikiliza lecturez za best university bila kulipa school fees...

unasikiliza ma proff wa havard, yale, oxford, ile elimu inayokupa maarifa kichwani tofauti na open watakutoza ada kubwa ambayo ungeiwekeza kwenye mtaji zaidi..

mtu ambaye hana wazo la kuajiriwa wala hataki uteuzi... mfano mengi au mafuruki unafikiri anawaza kuteuliwa uwaziri.. ujaona mtanzania amekataa mshahara wa milion 300 na kurudi tz from stanford university....

ukiwa unawaza kujiajiri na una nia hata uceo wala uwaziri hutautaka..

mawaziri kibao wamepewa hela na mjinga mmoja aliejiajiri na kutingisha nchi...

rugemalira kagawa bilioni hazizidi 10 kwa wanasiasa nchi imetingishika... huku rugemalira mwenyewe amepiga bilion zaidi ya 70 na hata masters hana ila ma prof wameenda muomba hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ASANTENI NYOTE MLIOCHANGIA NA KUNISHAURI.

USHAURI WENU NIMEUELEWA NA KUUZINGATIA, SASA NAJIKITA RASIMI KWENYE BIASHARA YANGU ILI NIMILIKI ASSETS ZANGU MWENYEWE,. ELIMU NILIYONAYO YA KIDATO CHA SITA INANITOSHA.

NGOJA NIPANUE WIGO WA BIASHARA YANGU, ELIMU YA DARASANI NA MIMI SASA BASI.

Asante sana JF Asanteni sana member wa JF.

MUNGU AWABARIKI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi linganisha elimu na hela...ukifanya hivyo utakuwa kichaaa....nenda shule elimu ni Mali kuliko hiyo laki 2 kwa siku
 
Nakupa hongera bro. wewe ndio umesoma na kuelimika! historia yako inafanana na yangu nakushauri usiasche biashara kwa ajili ya kusoma kumbuka muda sio rafiki wa binaadam tafuta pesa kuna watu wamesoma huko unakotaka kwenda wewe wapo kitaa hawana ajira.
 
ASANTENI NYOTE MLIOCHANGIA NA KUNISHAURI.

USHAURI WENU NIMEUELEWA NA KUUZINGATIA, SASA NAJIKITA RASIMI KWENYE BIASHARA YANGU ILI NIMILIKI ASSETS ZANGU MWENYEWE,. ELIMU NILIYONAYO YA KIDATO CHA SITA INANITOSHA.

NGOJA NIPANUE WIGO WA BIASHARA YANGU, ELIMU YA DARASANI NA MIMI SASA BASI.

Asante sana JF Asanteni sana member wa JF.

MUNGU AWABARIKI SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati ukiendelea kupanua Biashara yako ili ufanikiwe zaidi, kumbuka pia kuwekeza kwenye kumjua Mungu na kuwa Mcha Mungu. Mafanikio yanakuwa na maanza zaidi iwapo utakuwa na hekima na busara za namna ya kukabiliana na changamoto za kupata pesa nyingi. Hekima hizo hazitoki pengine, ila kwa Mungu pekee.! Nakutakia mafanikio mema.
 
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora uendelee na biashara kwanza hadi utakapokuwa na pesa inayogawanyika kwa shule na biashara.

Kama unategemea kusoma alafu upate kazi ili kuboresha maisha yako sahau. Kuna magraduete kibao wapo mtaani hata jero hawana. Shule ni muhimu lakini kwa stage ulioifikia komaa kwanza na biashara then utarudi shule mambo yako yakiwa safi, vinginevyo utasoma alafu uje kuanza kuombaomba jero za vocha.
 
Back
Top Bottom