Ukiferi hiyo ya Kahawa Mbeya, basi kwasasa ni kiangazi kwa upande wa maeneo ya Mbeya vijijini na pia ni muda wa mavuno ya kahawa, mpunga, mahindi, alizeti hivyo wakulima wana hela ila huku vijijini usafiri ni pikipiki tu, sasa katika nyumba kumi, nyumba nane wana pikipiki hivyo wanahitaji matengenezo ya hizo pikipiki bado hakujakuwepo na duka la spea na vifaa madhubuti vya pikipiki lenye uwezo wa kuhudumia atleast hata kata tatu, ni mpaka washuke mjini I mean Mbeya mjini kupata hivyo vitu. So uamuzi ni wako.Habari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Asanteni
Ukiferi hiyo ya kahawa mbeya, basi kwasasa ni kiangazi kwa upande wa maeneo ya mbeya vijini na pia ni muda wa mavuno ya kahawa , mpunga, mahindi, alizeti hivyo wakulima wana hela ila huku vijijini usafiri ni pikipiki tu , sasa katika nyumba kumi , nyumba nane wana pikipiki hivyo wanahitaji matengenezo ya hizo pikipiki bado hakujakuwepo na duka la spea na vifaa madhubuti vya pikipiki lenye uwezo wa kuhudumia atleast hata kata tatu , ni mpaka washuke mjini I mean mbeya mjini kupata hivyo vitu .So uamuzi ni wako .
Kwa sasa mkulima ana hela.
Ushauri tu.
TEKERI.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Naferi nikuelekeze vipi ila ni lugha nimekuta huku , yaani kama umewahi ona wale walevi wa pombe za kienyeji kwa mkoa wa dar es salaam au mbeya au kagera au Mwanza vile vyombo wanavyowekewa hiyo pombe basi hizo ndiyo ndonya , ni almost ndogo kidogo kwa jagi.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hahahah pia wenye mapesa mengi na bado hawana plan nayoUwekezaji wa wenye akili ndogo
Habari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Assnten
Kama utaweza tafuta sem town yoyote.iwe sehemu yenye mchanganyiko wawawtu yani pawe na mwingilino wawatu wengi hasa wanawake .then fungua biashara ya vipodozi na urembo yani uuze lotion, perfumes,urembo wote hasa saa zakiume nakike,cheni zakike nakiume quality zote,heleni zakike ,pia uuze na nywele zakike(weaving,wigi, crochet zote, Rasta nk.) NB:Uwe na moyo wakupambana maana changamotoni nyingi.kama upo interested nitafute mm ndo naifanyaHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Asanteni
Uza cement in large
Habari Mkuu,Kama Uko serious tunaweza kuwasiliana kwa Email:masokotz@yahoo.comHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Asanteni
Hiyo ya kutoa mkataba kwa boda boda kuna changamoto gani kubwa , nafikiria kuifanya mambo yakienda vizuri hivi karibuniNaomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Asanteni
Mkuu weka hapa tufaidike soteMkuu,kwa mtaji wako inategemea uliupataje,una eleimu kiasi gani na unajishughulisha na nini wakati huu.Mawazo na fursa zipo nyingi na zote zina changamoto zake.Hata hivyo zipo aina ya biashara ambazo unaweza wekeza 7M tu na ukaweza kuingiza faida ya hadi 2m kwa mwezi ila utahitajika kupiga kazi kwa bidii na kuwa mvumilivu kwani faida unaweza kuanza kuiona baada ya miezi 3-6.
Biashara inahusisha teknolojia na hivyo uwekezaji wake sio wa mara moja na sio high risk.Kama uko interested PM iko wazi.
Bei ya kiwandani sh.ngapi mkuu?Fanya biashara ya cement hapo unapata mifuko 600 kwa bei ya kiwandani pamoja na usafiri tafuta location nzuri
Mkuu kwani PM hata wewe si unaweza fika?AU sote hatuwezi kufika PM?Mkuu weka hapa tufaidike sote