Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Mbogo ni mwizi siku zote wizi ni asiri ya mtanzania halisi.Ni kweli. Na kwenye biashara hakikisha wafanyakazi hawaelewani. Kuna kampuni mjini Dar niligundua kuanzia yule wa juu hadi mlinzi wanashirikiana kuiba tena yule anayeaminiwa zaidi na boss wa pale ndo kiongozi wa uovu. Wafanyakazi wakiwa kitu kimoja watakufilisi.
Wahindi ndo wanaweza hii gameNi kweli. Na kwenye biashara hakikisha wafanyakazi hawaelewani. Kuna kampuni mjini Dar niligundua kuanzia yule wa juu hadi mlinzi wanashirikiana kuiba tena yule anayeaminiwa zaidi na boss wa pale ndo kiongozi wa uovu. Wafanyakazi wakiwa kitu kimoja watakufilisi.
Confuse them without them knowing.Ni kweli. Na kwenye biashara hakikisha wafanyakazi hawaelewani. Kuna kampuni mjini Dar niligundua kuanzia yule wa juu hadi mlinzi wanashirikiana kuiba tena yule anayeaminiwa zaidi na boss wa pale ndo kiongozi wa uovu. Wafanyakazi wakiwa kitu kimoja watakufilisi.
Kasome uzi wa kufilisika ndio utajua dhana halisi ya ulinzi imekaaje