Biashara za Afrika Kusini

Biashara za Afrika Kusini

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
274
Reaction score
108
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.

Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi.

Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata kamzigo hapo SA walau wa simu na Laptop ila used pamoja na vitu vya akina mama na watoto.Naomba kwa yeyeto mwenye kujua vyema nchi hiyo anidadavulie maduka na vitu hivyo ntapataje pia bei za vihotel vya walala hoi.Tafadhali sana nisaidie jamani hari ya maisha imekuwa ngumu.

nakaribisha pia maoni kama kuna mtu wenye wazo tofauti na langu la kibiashara naomba anishirikishe nijaribu.ila isiwe kilimo tu maana nimeshajaribu vitunguu vikanikata mbaya.
 
Unataka kwenda kufanya biashara afrika ya kusini?kwa 3m ni ndogo sana..nakushauri uende uganda utapata vitu vizuri na faida kubwa.kuna mashuka pia uganda unaweza kuchukua na kuja kuuza bongo very good quality.south ukipata hela ukatembee tu..
 
Mmh hayo mashuka nayajua na wengi hawayatoi Uganda wanatoa hapo Cabs hapo siku ya sale jumamosi.Asante kwa ushauri.
 
Una uhakika?mimi nakwambia sababu ninachukua huko...ulikuwa ushauri tu maana naijua south vibaya sana..kila la kheri
 
Usichukie ndugu yangu.mie nimesema maana nina uhakika na hilo na sio wafanya biashara wote wanafanya havo.
 
Sasa sio watu wote makanjanja...mimi nimekushauri tu..wala usijali sijakasirika naijua south sana na maduka yake ndio maana nimekwambia..maduka ya bei rahisi ni jet,mr price..ukitaka vitu vya nguvu ndio utachanganyikiwa kwa 3m utapanda ndege gani?kama fastjet kwenda na kurudi kama laki 4 kama utafanya booking mapema ukitaka saa ni kama 900usd labda na zaidi..na kilo za mizigo bado ujalipia..jitahidi uwe na mtaji mkubwa kidogo..uganda 3m utapata vingi kama mashuka ujapenda kuna mashati ya kiume trouser za kike na tops...achana na mambo ya sale ya cabs..mchana mwema kila la kheri
 
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.

Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi.

Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata kamzigo hapo SA walau wa simu na Laptop ila used pamoja na vitu vya akina mama na watoto.Naomba kwa yeyeto mwenye kujua vyema nchi hiyo anidadavulie maduka na vitu hivyo ntapataje pia bei za vihotel vya walala hoi.Tafadhali sana nisaidie jamani hari ya maisha imekuwa ngumu.

nakaribisha pia maoni kama kuna mtu wenye wazo tofauti na langu la kibiashara naomba anishirikishe nijaribu.ila isiwe kilimo tu maana nimeshajaribu vitunguu vikanikata mbaya.

ni pm nikueleze cha kufanya
 
Kwanza nimecheka sana hapa nilisikia umejichanga miaka 33 ndio ukapata hiyo 3M,
Mimi nakushauri kwa mtaji huo fungua MPESA NA TIGO PESA Utapata faida nzuri yenye uhakika kwa mwezi.
Tafuta tu eneo zuri lenye mzunguko mkubwa wa watu usijali kwamba wapo wengi wanaoifanya au vipi.
Maana naona ukianza kusafiri mwisho wa siku mtaji unaweza kukata kwenye nauli,kukamatwa mipakani n.k.Kila la heri
 
Sasa sio watu wote makanjanja...mimi nimekushauri tu..wala usijali sijakasirika naijua south sana na maduka yake ndio maana nimekwambia..maduka ya bei rahisi ni jet,mr price..ukitaka vitu vya nguvu ndio utachanganyikiwa kwa 3m utapanda ndege gani?kama fastjet kwenda na kurudi kama laki 4 kama utafanya booking mapema ukitaka saa ni kama 900usd labda na zaidi..na kilo za mizigo bado ujalipia..jitahidi uwe na mtaji mkubwa kidogo..uganda 3m utapata vingi kama mashuka ujapenda kuna mashati ya kiume trouser za kike na tops...achana na mambo ya sale ya cabs..mchana mwema kila la kheri

Nkululeko,
mimi niko interested na hayo mashuka ya uganda, nataka nianze hiyo biashara ila nimeshindwa kupata mtu wa kunipa maelekezo vizuri, kama vile ni kampala sehemu gani yanapatikana maduka gani?... mtaa gani. naskia hua yananunuliwa vitambaa tu alafu unpinda mwenyewe. nigeshkuru sana kama ungeweza kunifahamisha zaidi. nataka niende mwezi ujao nikachkue mzigo nikipata information za kutosha.

thanks in advance.
 
fanya umtafute mkuu Money Stunna atakupa A-Z kuhusu kampala
 
Last edited by a moderator:
nakushauri nenda china utapata mzigo bomba wa computer, laptop used kisha utaleta huku kututwanga akina siye huko SA usiende ndugu yangu hatari siku hizi kwani watajua unapeleka sembe wakutoe roho bure
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.

Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi.

Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata kamzigo hapo SA walau wa simu na Laptop ila used pamoja na vitu vya akina mama na watoto.Naomba kwa yeyeto mwenye kujua vyema nchi hiyo anidadavulie maduka na vitu hivyo ntapataje pia bei za vihotel vya walala hoi.Tafadhali sana nisaidie jamani hari ya maisha imekuwa ngumu.

nakaribisha pia maoni kama kuna mtu wenye wazo tofauti na langu la kibiashara naomba anishirikishe nijaribu.ila isiwe kilimo tu maana nimeshajaribu vitunguu vikanikata mbaya.
 
3m ni ndogo kuanza kusafiri mbali. Hapo karibia 1.5m utaichoma kwa nauli na malazi!
 
mkuu strawber S.A usijaribu kwanza simu zao ghali sana hata kama second hand mi nimeishi huko mapajua A TO Z tangu 96 hadi 2009 leo nalima mahindi na mpunga morogoro. nenda uganda kama unavyoshauriwa .pia wa tz ndio adui zako huko unaweza poteza kila k2
 
wale nawakubali sana wanatengeneza vitu Quality
bei kwa wabongo itasumbua sana
 
Back
Top Bottom