Strawberry
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 274
- 108
Habari za Humu wana MMU.
Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu.
Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto wa wakulima jamani kweli shida hizi.
Sasa hiyo 3M nataka nijaribu kufanya biashara walau za kufata kamzigo hapo SA walau wa simu na Laptop ila used pamoja na vitu vya akina mama na watoto.Naomba kwa yeyeto mwenye kujua vyema nchi hiyo anidadavulie maduka na vitu hivyo ntapataje pia bei za vihotel vya walala hoi.Tafadhali sana nisaidie jamani hari ya maisha imekuwa ngumu.
nakaribisha pia maoni kama kuna mtu wenye wazo tofauti na langu la kibiashara naomba anishirikishe nijaribu.ila isiwe kilimo tu maana nimeshajaribu vitunguu vikanikata mbaya.