Biashara za kiafrika zinakufa mmiliki anapofariki

Ni kweli hata sipingi hapa ila inapaswa wazazi wawasomeshe watoto wao na kuwashirikisha katika biashara wanazozifanya ikiwa ni pamoja na kwenda nao kazini baadhi ya siku.
 
Ni kweli hata sipingi hapa ila inapaswa wazazi wawasomeshe watoto wao na kuwashirikisha katika biashara wanazozifanya ikiwa ni pamoja na kwenda nao kazini baadhi ya siku.
Word, tuanze na watoto hawa wagombea wenza wengine mtapasuana vichwa!!!!
 

Nje ya ndoa everything is 100% perfect oa sasa ndipo unapo gundua kuwa ulidhani ni chips kumbe ni viazi
 
Word, tuanze na watoto hawa wagombea wenza wengine mtapasuana vichwa!!!!

Mkuu OLESAIDIMU kuna wagombea wenza baadhi yaani wanakuwa kama wanamieleka, yaani ni full kuviziana na kutojiamini kuwa inawezekana jamaa ana mchepuko ngoja nianze mapema kujiwekea akiba.

Bora watoto hata kama umebambikwa wahenga walisema kitanda hakizai haramu, afterall mihangaiko yote ni kwa ajili yao maana katika hali ya kawaida wao ndio warithi na sio mgombea mwenza maana nyie wote mtadiminish muwaache watoto
 
Last edited by a moderator:

Ha ha haaaa kaka ngafu mieleka ya mgombea mwenza kolabo mama mkwe aaaanh utashinda kwa taabu sana!!!!
Kama vipi bora watoto!!!
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hata sipingi hapa ila inapaswa wazazi wawasomeshe watoto wao na kuwashirikisha katika biashara wanazozifanya ikiwa ni pamoja na kwenda nao kazini baadhi ya siku.

Mkuu louis de broglie I concur with you watoto ndio sole beneficiaries
 
Last edited by a moderator:
hata hao watoto lazima washirikishwe kwenye biashara ktk makuzi yao ili waweze kumudu vema biashara kitu ambacho ni kinyume na wanaume waki-Tanzania. Alaf tusikimbilie kutaja watoto kwan wanahitaji muda wa kukua, je ktk kipindi hicho afya ya mwanaume ikiyumba biashara itakua ktk hali gani? Nadhani ili ni tatizo kwetu wanaume kwann tunaoa wanawake ambao sio chaguo sahihi, wanatushinda matokeo yake tunaogopa kuwashirijisha ktk ishu zetu baadae tunalalamika na kuwaita wezi.
 

Kwani biashara unazaliwa nazo kaka si unaweza kuwa na mtu baadaye ndio mambo yakachanua au we ulizaliwa na biashara kwa hiyo ukampima shemeji tangu day one???!

Watoto wanakuwa na kucheza na kusoma na biashara watajua japo kujua tu na kuzoea hata kufika hapo sehemu kama ni premise so wanakuwa wakiona kama ni duka au kiwanda au lolote, we unajua kuna watoto ukiwauliza baba yuko wapi wanakujibu kaenda kazini na wengine precisely wanakuambia kaenda dukani kwake!! Hamna tofauti hapo??!!!

Kuhusu mtu mwizi huyu sina la kusema maana nikigundua Mungu aepushie mbali yaani mke anakuibia???!!!
 

Unaweza Kua na biashara mke akakukuta nayo au ukaanza ukiwa na mke. Ishu kubwa unamshirikisha? Kama ndio kivipi, ushawahi kumwachia afanye maamuzi makubwa kuhusu biashara yenu chini ya uangalizi wako? Au ushawai kumpa nafasi angalau akushauri, na kama ushauri/maamuzi mabaya unamu-accommodate vp ilimradi usimvunje moyo ili aendelee kuwa karibu na aone biashara ni yetu sio ya baba tu? Je ushawahi kumpa TANO pale anapokutoa? Amini nakuambia Mali zote zinazochumwa wake zetu hawajioni kama nao ni wamiliki unadhani ni kwa nn kama sio mapungufu ya mwanaume kutojiamini kwa kuendelea mfumo Duke.
 

Kaka mpaka mtu anaamua kuoa basi jua yuko tayari sio kumshirikisha ila kufanya naye, yaani na yeye mke aje na ideas na inventions sio "kupewa nafasi ya kushauri" mtu baki ndio anatakiwa kupewa nafasi "mke anatakiwa kuwa active aulize, ahoji, abaini mapungufu sio akae kando kusubiri kupewa nafasi" kama mimi baba na intervene nyumbani ninapoona mambo hayako sawa vile mimi baba naona yanatakiwa yawe why yeye asubiri kupewa nafasi????!!!

Tano kwa mama haiendi maneno matupu ila incentive tena sio in kind mambo ya "i love you more" hapana akifanya kweli nawe unatia material thing fasta iwe perfume, pete, hereni au unampa cash kabisa kama motivation!!!
Changamoto ya biashara ni moja, mtu lazima aipende haswa maana sio siku zote itakufurahisha sasa hapo ndio kasheshe huanza, utaambiwa kwenye simu "huyu agent wako mi kanishinda nimemwambia akusubiri mwenyewe!!!"

Sijui unaelewa mkuu???!!! Na hii iko pande zote wapo wanaume wenzetu ma nanga ya meli za mizigo yaani mke ana piga mitkasi mpaka wanaume mnamkubali ukiuliza "dada hivi kila siku nakuona mwenyewe na unasema umeolewa shemeji yuko wapi " anakuangalia mpaka machozi yanamlenga anameza mate kushusha fundo" hapo ujue ana msalaba wa zege!!!!
 

Mkuu Geofreynyaga unaposema tunaoa wanawake ambao sio chaguo sahihi unamaanisha nini? Kwani kigezo cha kuoa ni kumpata mfanyabiashara mwenzio au mwenza wa maisha? Na mwenza maana yako support hivyo sio lazima wote muwe eneo la biashara, wajati wewe uko dukani yeye anahudhuria shughuli za kijamii kwa niaba yako

Nionavyo mimi kila mtu ana kigezo chake ila huwezi mpata mwanadamu ambaye amekamilika kila kigezo hata wewe mwenyewe una mapungufu yako

Nafikiri pia mila za baadhi ya makabila zinamfanya Mwanamke ajifeel unsecure na hivyo kutoshiriki kikamilifu na kama akishiriki kikamilifu anaanza kujipa urithi mapema kwa kuhofia nini kitafuata baada ya wewe mission yako kukamilika duniani
 
Last edited by a moderator:

duh nasoma comment za humu hadi nimechoka. Issue ni wote mnamuona mwanamke kama na yeye ni partner mfano kwa equity shares na yeye akifanyakazi vizuri afunguliwe yake aonyeshe ubunifu wake hapo ndio uwezekano wa kukua na kuendelea mmoja akifa ni mkubwa. Hii si kwa mke tu hata watoto wakubwa wanaoonyesha nia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…