Biashara za kiafrika zinakufa mmiliki anapofariki

Biashara za kiafrika zinakufa mmiliki anapofariki

Wanawake ukiwa kabidhi biashara wataiba sana kuna siku nilikwenda kwa mama mdogo maili moja kibaha akanituma nikamuwekee kama milioni moja benki walikuwa na duka la hardware nilivyorudi nikaweka risiti mezani baba mdogo alivyorudi akaikuta risiti akaniuliza hii ya nini nikamjibu nimetumwa kumbe anaficha hela kwenda kuangalia kuna milioni 16 wakaitoa zote lawama zikahamia kwangu sikurudi tena mpaka leo

:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:!!!!

Aisee kazi ipo kweli... kumbe biashara zina faida sana basi tu wanawake wanaturudisha nyuma sana!

Ila mi nadhani tatizo ni mawasiliano mabovu na kutowekana sawa kati ya mume na mwenye mume! Mwanaume akiwa muwazi kwa mkewe na akamweleza nini malengo ya biashara, profit and loss katika biashara itakuwa vyema sana!

Lakini pamoja na hayo kuna wanawake ni wapumbavu sana! wanakuwa kama vile wametumwa kutoka kwao kwenda kuiba kwa mwanaume! wao wanachoangalia ni kuiba na kupelekea kwao tu! wengine wako radhi wajenge makwao hukooo lakini wabomoe familia waliyoifuata... huu ni ujinga mkubwa sana!
 
duh nasoma comment za humu hadi nimechoka. Issue ni wote mnamuona mwanamke kama na yeye ni partner mfano kwa equity shares na yeye akifanyakazi vizuri afunguliwe yake aonyeshe ubunifu wake hapo ndio uwezekano wa kukua na kuendelea mmoja akifa ni mkubwa. Hii si kwa mke tu hata watoto wakubwa wanaoonyesha nia.

Hili neno Mama Joe
 
Last edited by a moderator:

naanza kuamini kuwa kweli wanawake wengi ni kikwazo hasa hiki kizazi. Nimelelewa na baba mfanyakazi hadi anafariki uzeeni lakini alimwachisha mama kazi hivyo mama alikuwa mfanyabiashara za nyumbani akitumia kila fursa kushona, kufuga, kununua jumla na kulangua baadae kujenga na kupangisha. Kwa mwanamke hadi leo naona alikuwa mfanyabiashara mzuri hadi anafariki akituachia zaidi ya nyumba nne ukihesabu na za mzee. Hii nadhani ni kupewa chance kuwekeza kwenye biashara anayoamini uku akichangia mahitaji ktk familia. Sasa hizi story humu dah nimechoka
 
Last edited by a moderator:
Inategemeana na Mungu alivyopanga !! Anaweza akafarik ndo fursa za kipato zikaongezeka au zikapotea kabisa
 
Back
Top Bottom