Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

Ni kawaida kwa maduka ya posta, masaki, oysterbay and the like. Jeans quality iliyonyooka uliyozoea kununua wewe kwa tshs elfu 40 huko utauziwa laki na themanini kuendelea na zinanunuliwa kama kawa.
 
Utapeli ni moja ya Tunu kwenye nchi hii.

USIKASIRIKE MKUU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Embu tutumie picha ya instagram na ya izo ulizonunua
17029861082643313038623693732591.jpg
 
Ujuwe kuna tatizo kubwa la wafanyabiashara hasa la uaminifu na hili linaweza kuzuia biashara kuwa huru na kuleta mashaka sana kwa wateja
Mimi ninaimani tukirejasha uaminifu kwa mfanyabiashara na wateja wake utakuwa ndio mwarubaini tu.
 
Niliona kiatu kikali mno online.

Kuagiza , nilichoka mwenyewe.

Hizo picha wanazopost online sijui wanazifanyaje aisee.
 
Back
Top Bottom