Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

Mi nakushaur kwanza anza kufanya utafit wa biashara eneo husika halaf maarifa mengin tutaelekezan hapa... Siku hizi biashara nyingne haswa za mitaj mikubwa hazielewek
Yaani nilikuwa nime plan biashara ya juice ya miwa kufungua sehemu ya kuuzia hasa mitaa ya shule ya uhuru karibu na stand maana naamini kwa 4m naweza pata mashine na pango
 
Yaani nilikuwa nime plan biashara ya juice ya miwa kufungua sehemu ya kuuzia hasa mitaa ya shule ya uhuru karibu na stand maana naamini kwa 4m naweza pata mashine na pango
Ni kweli kabsa mkuu, hata hiyo ni sawa uko sahih kbsa..Kama umefanya uchunguz anza tu...inalipa hyo biashara
 
Pamoja na wew ndugu akusimamie kwenye biashara yako! Utimize malengo yako
Mkuu nashukuru kwa mada hii na mamb ya msing uliyoyaongea
ila naomba pia utoe ushaur jins ya kupata mkopo haswa ya kuanzia milioni 1 labda mpaka milioni 5
na ikiwezekana na mifano hai ili tuweze kujua namna gani tunasaidiana
 
Yaani nilikuwa nime plan biashara ya juice ya miwa kufungua sehemu ya kuuzia hasa mitaa ya shule ya uhuru karibu na stand maana naamini kwa 4m naweza pata mashine na pango
Wazo zuri uongezee na bites, mfano sambusa, maandazi, bagia , keki nk.
 
Naomba ushauri nina mdogo wangu kamaliza shule na ajira ndio kama ujuavyo ni shida nami nimejikongoja nimepata angalau 4milioni je ni mradi gani naweza mfungulia?pls
HAPA KUNA BIASHARA ZA 10-50 we una milioni 4,si uanzishe kama hizi mara 400?
NIMEWAZA kwa sauti!
 
Back
Top Bottom