Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

Wakuu naomba kufahamishwa ni biashara ipi / biashara zipi mtu unaeza kufanya kwa mtaji wa elfu 50 ?
 
Hizi biashara kama hizi kwanini hutajwa dar tu? Mara utasikia nenda pale ilala, soko la mlandizi ..zinalipa ukiwa dar tafauti na maeneo mengine? Kama vip tuje uko kufanya..
 
ww ni mm mkuu[emoji1666] nafanya hivyo now
 
Nashukuru sana mkuu maan nimepata wazo la kuanzisha biashara kupitia mtaji mdogo ,mungu akubarik kaka kw mawazo yako mazur
 
Chuo nliwekaga usistaduu pembeni..mimi na rafiki yangu tulikua tunauza kachori..tunatengeneza na pilipili tam hatari..tunatembezea majirani na hostel tulipiga sana pesa..biashara ndondogo mwanzo wa mafanikio
Aisee.....nmeipenda hii
 
Naomba unifundishe hii kitu nipo interest nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…