Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa....
1. Boxer, bajaji
2. Betri
3. Nyembe za Dorcco.
Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa.

My take. mo ajiri wabunifu na utengeneze bidhaa bora mbona soko lipo? Achana na mambo ya kuiga iga.
 
Twambie biasharazake kwanza
 
Jifunze kwa mo mkuu acha kupotosha
 
Mo anahitaji kuboresha mbinu zake ili aweze kushindana vyema sokoni. Kila bidhaa unayozungumzia (Boxer, bajaji, betri, nyembe za Dorcco) ina soko lake, lakini kama ubora utaathirika, hiyo itawaathiri wateja na mauzo.

Kama unavyosema, ufahamu wa soko na ufanisi wa bidhaa ni muhimu sana. Kujenga timu ya wabunifu na kutengeneza bidhaa bora kutasaidia sana katika kubaki na ushindani. Mambo ya kuiga yanaweza kuwa na faida ya muda mfupi, lakini katika soko la sasa lenye ushindani mkubwa, ubora ni kila kitu.

Ni wazo zuri kwa Mo kujielekeza kwenye ubunifu ili kutengeneza bidhaa zinazovutia na ambazo zinaendana na mahitaji halisi ya soko.
 
Mkuu kwa kuwa wewe si mteja au mtumiaji wa bidhaa yake, hiyo haiondoi kuwa Kuna watu wana changia na kufurahia huduma aitoayo.

Namjua jamaa fulani ni Wakala wa tambi na sabuni za mo, wana Fanya vizuri haswa.
 
Back
Top Bottom