Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Mo ni kama mchina anakopi adidas anaandika addadisBidhaa fake na za kiwango cha chini ndicho kinachomuangusha.
Mo B29 c&p from original 29
Mo match box c&p from Tinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo ni kama mchina anakopi adidas anaandika addadisBidhaa fake na za kiwango cha chini ndicho kinachomuangusha.
Mo B29 c&p from original 29
Mo match box c&p from Tinga
😂😂😂😂Habari za tajiri muulize masikini
Wewe ni mbumbumbu wa Biashara, kaa kimya ufundishwe.Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa....
1. Boxer, bajaji
2. Betri
3. Nyembe za Dorcco.
Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa.
My take. mo ajiri wabunifu na utengeneze bidhaa bora mbona soko lipo? Achana na mambo ya kuiga iga.
Asante sana kwa kuongezeaMo anahitaji kuboresha mbinu zake ili aweze kushindana vyema sokoni. Kila bidhaa unayozungumzia (Boxer, bajaji, betri, nyembe za Dorcco) ina soko lake, lakini kama ubora utaathirika, hiyo itawaathiri wateja na mauzo.
Kama unavyosema, ufahamu wa soko na ufanisi wa bidhaa ni muhimu sana. Kujenga timu ya wabunifu na kutengeneza bidhaa bora kutasaidia sana katika kubaki na ushindani. Mambo ya kuiga yanaweza kuwa na faida ya muda mfupi, lakini katika soko la sasa lenye ushindani mkubwa, ubora ni kila kitu.
Ni wazo zuri kwa Mo kujielekeza kwenye ubunifu ili kutengeneza bidhaa zinazovutia na ambazo zinaendana na mahitaji halisi ya soko.
Mfano bidhaa ipi??Sema mo bidhaa zake bhna ni mbovu tusipepese macho
Sema tu jamaa ni mjanja mjanja sana. Ni mtumiaji mzuri wa fursa ya kununua mashamba ya zamani ya serikali/wananchi mfano mashamba ya mkonge na chai, halafu anaenda kuyakopea mkopo mkubwa benki! Na pesa inapelekwa sehemu nyingine, badala ya kuyaendeleza hayo mashamba.Ukiacha Mo extra ni bidhaa gani inafanya vizuri sokoni kwa sasa? Baada ya hali kuwa ngumu ameamua kuwa wakala wa....
1. Boxer, bajaji
2. Betri
3. Nyembe za Dorcco.
Kinachosikitisha zaidi huenda uwakilishi wake kwenye bidhaa hizo pia ukawa mgumu, kama ubora utabadilishwa.
My take. mo ajiri wabunifu na utengeneze bidhaa bora mbona soko lipo? Achana na mambo ya kuiga iga.