Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

Wewe ni mbumbumbu wa Biashara, kaa kimya ufundishwe.

Kuwa na royalty au franchise au wengine huita exclusive dealer kwa makampuni au bidhaa zinzozalishwa na wengine ni fursa kubwa sana kibiashara.

Kwa mfano MoDewji ni wakala wa Boxer motorcycles kwa nchi zaidi ya 20 zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara.

Ila wew unamuona kama kashindwa biashara. Pole mburura
 
Sema mo bidhaa zake bhna ni mbovu tusipepese macho
Mbovu sana hakuna anaezipenda ndio maana kaacha hata kutengeneza. Mbona Bakhresa anakimbiza soko?
 
Asante sana kwa kuongezea
 
Una kiwanda hata cha sabuni? Au unasubiria kununuliwa sabuni ukaogea maji ya chumvi ikadunda hasira zikamrudia Mo...
 
Sema tu jamaa ni mjanja mjanja sana. Ni mtumiaji mzuri wa fursa ya kununua mashamba ya zamani ya serikali/wananchi mfano mashamba ya mkonge na chai, halafu anaenda kuyakopea mkopo mkubwa benki! Na pesa inapelekwa sehemu nyingine, badala ya kuyaendeleza hayo mashamba.
 
Sawa vitu vyake fake blah blah je wewe unaweza fanya kama yeye kutengeneza Ivo vitu feki na kuziweka sokoni na kushawishi watanzania na nchi za jiran zinazotumia biadhaa zake?

Mjini ni shule Kila kitu ni fursa kiwe fake ama original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…