Utatuzi wa utata huo ndo uhai ws biashara yako periodKiukweli suala la kumtoa mtu kisa kampa pesa ndugu yako ni utata
Tafuta Kijana mmoja mnoko muweke hapo uankuwa umemaliza shida pamoja na mlinziHabari wadau naombeni ushauri...
Mimi ni kijana ila Mungu alinijalia ajira ya muda mfupi nikapata pesa nyingi. Sasa nimefungua biashara 2 hapa Dar na zinanilipa, ila tatizo kubwa ni kwamba familia na wanandugu wamekuwa wakifanya kama mali za ukoo.
Kutwa kucha wana matatizo na wamekuwa wakienda hata kama sipo wanachukua pesa kwa waajiri kwa kigezo cha kaka, dada au mjomba n.k
Nifanyaje?
Unafanya biashara na mama !!?? ... Mpumzishe huyo kaa mwenyewe au ajiri ...hivi aje dada ako na shida na mama amuache !!?? Aje kaka yake amuache tu !!??Nasimamia mimi na mzazi wangu wa kike ikitokea pesa zimetoka unakuta kachukua dada sina la kufanya ndio maana naomba ushauri
AhsanteWaswahili walisema "Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba"
Hongera kwa mafanikio.Habari wadau naombeni ushauri...
Mimi ni kijana ila Mungu alinijalia ajira ya muda mfupi nikapata pesa nyingi. Sasa nimefungua biashara 2 hapa Dar na zinanilipa, ila tatizo kubwa ni kwamba familia na wanandugu wamekuwa wakifanya kama mali za ukoo.
Kutwa kucha wana matatizo na wamekuwa wakienda hata kama sipo wanachukua pesa kwa waajiri kwa kigezo cha kaka, dada au mjomba n.k
Nifanyaje?
[emoji3516]
Wakitoa bila idhini wasuteSawa nitafanya hivyo. Je wakitoa pesa mfano niwafanyaje
Waswahili walisema "Mtaka nyingi nasaba, hupata mwingi msiba"
Kwanza fafanua wewe "Haya ww honi sigara" maana yake nini.Haya ww honi sigara, fafanua
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamati ya fitnaFungua biashara nyingine kisiri halafu hizo mbili ziue kwa makusudi kisha anza kuwalaumu hao wanandugu
kama huwezi kuwalaumu nitakufundisha nipo njema kwa kulaumu
Aisee nimependa hiiFungua biashara nyingine kisiri halafu hizo mbili ziue kwa makusudi kisha anza kuwalaumu hao wanandugu
kama huwezi kuwalaumu nitakufundisha nipo njema kwa kulaumu