Biashara zimeanza kuchangamka katika awamu hii ya sita

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.

Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni.

Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa sababu wengi tungekimbia mji.

Ninaishauri Serekali ya Awamu ya Sita iwawekee wafanyabiashara mazingira rafiki hasa hawa wa ngazi ya kati.

Wachumi wabobezi waliopo mfano Prof. Lipumba, Prof. Wangwe, Prof. Osoro, Prof. Semboja na wengine wengi muwe tayari kumshauri Mhe. Rais jinsi ya kuimarisha uchumi wa nchi yetu ili nchi iweze kusonga mbele.
 
images (6).jpeg
 
Siasa za chongolo hizi 😆😆😆. Asione aibu amtafute tu Dr. Akampe shule.
Naona viatu vimekuwa vikubwa sana kwake.
 
Uchumi huwa haukati Kona Kama Gari Bali unakata Kona Kama meli....Kama Kuna fedha zimeingia mzunguko au watu wameanza kuwekeza impact yake huwa haionekani kwa haraka miezi michache..it's take time.
 
Mkuu hebu tag location code maana huku kwetu A haikai wala B.
Kama umewatembelea leo mwisho wa mwezi ulitegemea ukute hali mbaya? weee jamaa jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kuleta uzi humu...
Huku hali ni mbaya zaidi
Mpo sawa wote, miezi michache nyuma King Kong III alisema tutaokota pesa barabarani, lakin hali imekuwa tofauti
 
Hapana mamii, mi niko upande mmoja na LUCKDUBE,
Huku kaskazini biashara hazitoki, hali haijachangamka hata

Badili muelekeo ,nenda kulingana na mdundo!! Kuna kitu kinaitwa diversity ,usistick kwenye issue moja!! Mimi nipo kwenye ujenzi naona watu sasa wanatafuta viwanja na wengi wanaanza kujenga ,it means wamepitiwa na upepo wa pesa.
 
Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.

Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni.

Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa sababu wengi tungekimbia mji.

Ninaishauri Serekali ya Awamu ya Sita iwawekee wafanyabiashara mazingira rafiki hasa hawa wa ngazi ya kati.

Wachumi wabobezi waliopo mfano Prof. Lipumba, Prof. Wangwe, Prof. Osoro, Prof. Semboja na wengine wengi muwe tayari kumshauri Mhe. Rais jinsi ya kuimarisha uchumi wa nchi yetu ili nchi iweze kusonga mbele.
Kinachofanya hali hiyo kuwa nzuri ni kitu gani... ikiwa awamu ya 6 haina hata zaid ya miez 4.... nadhan hii kitu inahitaj muda kuona matokeo
 
Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.

Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni.

Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa sababu wengi tungekimbia mji.

Ninaishauri Serekali ya Awamu ya Sita iwawekee wafanyabiashara mazingira rafiki hasa hawa wa ngazi ya kati.

Wachumi wabobezi waliopo mfano Prof. Lipumba, Prof. Wangwe, Prof. Osoro, Prof. Semboja na wengine wengi muwe tayari kumshauri Mhe. Rais jinsi ya kuimarisha uchumi wa nchi yetu ili nchi iweze kusonga mbele.
Kinachofanya hali hiyo kuwa nzuri ni kitu gani... ikiwa awamu ya 6 haina hata zaid ya miez 4.... nadhan hii kitu inahitaj muda kuona matokeo chanya au hasi
 
Back
Top Bottom