Wapi huko mkuu? Huenda ni mikoa inayoabudu nzi wa kijani..! Mikoa hiyo bado wanaombolezaHuku hali ni mbaya zaidi
Huku hali ni mbaya zaidi
Hapana mamii, mi niko upande mmoja na LUCKDUBE,Wapi huko mkuu? Huenda ni mikoa inayoabudu nzi wa kijani..! Mikoa hiyo bado wanaomboleza
Uchumi huwa haukati Kona Kama Gari Bali unakata Kona Kama meli....Kama Kuna fedha zimeingia mzunguko au watu wameanza kuwekeza impact yake huwa haionekani kwa haraka miezi michache..it's take time.
Mkuu hebu tag location code maana huku kwetu A haikai wala B.
Kama umewatembelea leo mwisho wa mwezi ulitegemea ukute hali mbaya? weee jamaa jaribu kushirikisha ubongo kabla ya kuleta uzi humu...
Mpo sawa wote, miezi michache nyuma King Kong III alisema tutaokota pesa barabarani, lakin hali imekuwa tofautiHuku hali ni mbaya zaidi
Its true huko nimesikia na mm babe...poleni yanamwisho hayaHapana mamii, mi niko upande mmoja na LUCKDUBE,
Huku kaskazini biashara hazitoki, hali haijachangamka hata
Hapana mamii, mi niko upande mmoja na LUCKDUBE,
Huku kaskazini biashara hazitoki, hali haijachangamka hata
Kinachofanya hali hiyo kuwa nzuri ni kitu gani... ikiwa awamu ya 6 haina hata zaid ya miez 4.... nadhan hii kitu inahitaj muda kuona matokeoLeo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.
Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni.
Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa sababu wengi tungekimbia mji.
Ninaishauri Serekali ya Awamu ya Sita iwawekee wafanyabiashara mazingira rafiki hasa hawa wa ngazi ya kati.
Wachumi wabobezi waliopo mfano Prof. Lipumba, Prof. Wangwe, Prof. Osoro, Prof. Semboja na wengine wengi muwe tayari kumshauri Mhe. Rais jinsi ya kuimarisha uchumi wa nchi yetu ili nchi iweze kusonga mbele.
Kinachofanya hali hiyo kuwa nzuri ni kitu gani... ikiwa awamu ya 6 haina hata zaid ya miez 4.... nadhan hii kitu inahitaj muda kuona matokeo chanya au hasiLeo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.