King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mpo sawa wote, miezi michache nyuma King Kong III alisema tutaokota pesa barabarani, lakin hali imekuwa tofauti
Asante kwa ushauri.Kuna unafuu Bushmamy ,mimi nipo kwenye udalali , ujenzi na mkaa ,kwahiyo napiga miguu yote yote ,ujenzi ukikata napiga mkaa ,watu washaanza kujenga na kutafuta viwanja ,cha kushauri badili gear upige issue nyingine ,mama kashamleta dangote , ajira elf 9 zishatangazwa ,accounts za wafanyabiashara zimefunguliwa ,kesi feki 147 zimefutwa ,issue hizo zote zitaleta impact kwenye mzunguko wa pesa ,ngoja tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
Nilivyomaliza form iv nikawa nakamtafuta mshikaji anibrush somo la economics ,alinifundisha kitu kimoja kwamba "you can not make someone well off without making someone else worse off" ,kwenye resources allocation ukiona wewe umekosa basi jua kuna mwingine amepata na vile vile ukipata wewe basi jua mwingine amekosa.
Katika awamu zote kuanzia ya nyerere hadi ya samia kuna watu watakuwa na pesa na wengine watakuwa wanawasindikiza wenzao ,ndio maana enzi za nyerere kina mbowe waliweza kununua mabenzi lakini wazazi wetu walikuwa wanafulia nguo kwa majani ya mpapai.
Tumpe muda mama ,jiwe aligalagaza uchumi angeendelea tena miaka mi5 ingekuwa balaa,mambo yatakaa sawa tu.
Juzi hapa kulikuwa na mikutano miwili mikubwa pale AICC mmoja ulikuwa wakina mama na mwingine wa CRDB, kama ulibahatika kwenda naamini utakuwa uliuza kidogo. Biashara za sasa hivi sio za kukaa na kusubiri wateja ukisikia fursa kama hizo sogea huwezi kukosa hata ya kula.Asante kwa ushauri.
Tatizo ni kuwa huu mkoa asilimia kubwa ya mapato yalikua yanatokana na utalii. (korona) Madini(ukuta) mikutano ya kimataifa na kitaifa katika ukumbi wa kimataifa wa AICC, sasa hayo yote siku hizi hamna, madereva wa tours wako home. Wapishi wa hotels, waongoza watali wote wako home,
Mahotelini na Bar tulikuwa tunapeleka huko kuku sasa hamna wageni, hawachukui hata kuku.
Tulikuwa tunawauzia vitu vya asili kama hiviView attachment 1796903 lakini ndo hivo chali.
Nakubalina na wewe huku niliko ujenzi unafanyika wa Renorvation wa Majengo na frem za biashara kwa kasi kadhalika watu wanajenga kwenye kaya mbalimbali mimi na deal na maswala yahusio ujenzi hii nime study kabisa.Badili muelekeo ,nenda kulingana na mdundo!! Kuna kitu kinaitwa diversity ,usistick kwenye issue moja!! Mimi nipo kwenye ujenzi naona watu sasa wanatafuta viwanja na wengi wanaanza kujenga ,it means wamepitiwa na upepo wa pesa.
Hahitaji muda kuelewa kwanini jibu ni moja tu watu walikuwa wameficha hela ndani na kuogopa kuzizungusha sasa wamezitoa baada ya SSH kutoa maelekezo yenye matumaini kwa wawekezaji na wafanyabiashara wa Ndani.Kinachofanya hali hiyo kuwa nzuri ni kitu gani... ikiwa awamu ya 6 haina hata zaid ya miez 4.... nadhan hii kitu inahitaj muda kuona matokeo
Asante kwa ushauri.
Tatizo ni kuwa huu mkoa asilimia kubwa ya mapato yalikua yanatokana na utalii. (korona) Madini(ukuta) mikutano ya kimataifa na kitaifa katika ukumbi wa kimataifa wa AICC, sasa hayo yote siku hizi hamna, madereva wa tours wako home. Wapishi wa hotels, waongoza watali wote wako home,
Mahotelini na Bar tulikuwa tunapeleka huko kuku sasa hamna wageni, hawachukui hata kuku.
Tulikuwa tunawauzia vitu vya asili kama hiviView attachment 1796903 lakini ndo hivo chali.
Ngoja nitembeze mchicha kwanza hadi akili ikae sawaDoooh hapo Bushmamy nimekubali ,kwa chain hiyo lazima mapato yashake!! Hapo inabidi uingine kwenye kutanua soko via social media(hakuna namna inabidi uingie tu kwenye facebook,instagram kutanua soko).
Ngoja nitembeze mchicha kwanza hadi akili ikae sawa
Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.
Wengi niliongea nao walinieleza afadhali kidogo kuna ahueni.
Wanaendelea kusema hatujui tungefanya nini kama Utawala wa Awamu ya Tano ungekuwa bado uko madarakani kwa sababu wengi tungekimbia mji.
Ninaishauri Serekali ya Awamu ya Sita iwawekee wafanyabiashara mazingira rafiki hasa hawa wa ngazi ya kati.
Wachumi wabobezi waliopo mfano Prof. Lipumba, Prof. Wangwe, Prof. Osoro, Prof. Semboja na wengine wengi muwe tayari kumshauri Mhe. Rais jinsi ya kuimarisha uchumi wa nchi yetu ili nchi iweze kusonga mbele.
Kuna unafuu Bushmamy ,mimi nipo kwenye udalali , ujenzi na mkaa ,kwahiyo napiga miguu yote yote ,ujenzi ukikata napiga mkaa ,watu washaanza kujenga na kutafuta viwanja ,cha kushauri badili gear upige issue nyingine ,mama kashamleta dangote , ajira elf 9 zishatangazwa ,accounts za wafanyabiashara zimefunguliwa ,kesi feki 147 zimefutwa ,issue hizo zote zitaleta impact kwenye mzunguko wa pesa ,ngoja tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini.
Nilivyomaliza form iv nikawa nakamtafuta mshikaji anibrush somo la economics ,alinifundisha kitu kimoja kwamba "you can not make someone well off without making someone else worse off" ,kwenye resources allocation ukiona wewe umekosa basi jua kuna mwingine amepata na vile vile ukipata wewe basi jua mwingine amekosa.
Katika awamu zote kuanzia ya nyerere hadi ya samia kuna watu watakuwa na pesa na wengine watakuwa wanawasindikiza wenzao ,ndio maana enzi za nyerere kina mbowe waliweza kununua mabenzi lakini wazazi wetu walikuwa wanafulia nguo kwa majani ya mpapai.
Tumpe muda mama ,jiwe aligalagaza uchumi angeendelea tena miaka mi5 ingekuwa balaa,mambo yatakaa sawa tu.
Endelea kupiga makofi na vigelegele.Leo nimebahatika kuwatembelea wajasiria mali hapa Mwanza hasa biashara hizi ndogo ndogo kama viwanda vya mbao, vyakula nk.