Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

(1) Biashara ya kuunza Magazeti
Hii ni biashara ambayo imewatoa watu wengi sana kama akina ERICK SHIGONGO mf. gazeti lake la ijumaa,Sun etc. But now days watu weng wanapata habari kupitia kwenye simu, TV etc. Mfano akina MIllard Ayo etc.

(2) Biashara ya kuunza mafuta ya taa
Hii ni biashara ambayo ilikuwa ikilipa San especially vijijin enzi hizo, yaan vijijini ilikuwa ni Bora duka lako likose mafuta ya kupikia lakin sio ya taa. But now days hata vijiji visivyo na umeme makampuni mbalimbali ya solar yanatoa huduma hata Kwa kukopesha!

(3) Biashara ya betri za redio
Hapa tunakumbuka makampuni kama BELL na PANASONIC. But now days baadhi ya REDIO zimekuja na mifumo ya solar kabsa means makampuni mengi ya solar yanakuja na vifaa vyao kabisa mfano solar na REDIO yke au TV yake.

Na nyinginezo nyingi tiririka hapo#
Magazeti bado sana Tanzania ina population ya watu 60 million lakini active internet users hawafiki hata 5 million out of 60 million na wengine wana smartphone ila sio watu wa mitandao labda kwa dar es Salam ila mikoani magazeti bado yanalipa so kwa Tanzania we have a long way to go ila duniani huko imeshakufa tayari.
 
Ujue na wao wamehamia kwenye internet, mfano washington post,ili kusoma habari zao inabidi ujiunge kwa kutumia hela.Wanauza habari zao via internet.
 
Back
Top Bottom