Biashara zinanzoelekea kupotea kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia

Magazeti bado sana Tanzania ina population ya watu 60 million lakini active internet users hawafiki hata 5 million out of 60 million na wengine wana smartphone ila sio watu wa mitandao labda kwa dar es Salam ila mikoani magazeti bado yanalipa so kwa Tanzania we have a long way to go ila duniani huko imeshakufa tayari.
 
Ujue na wao wamehamia kwenye internet, mfano washington post,ili kusoma habari zao inabidi ujiunge kwa kutumia hela.Wanauza habari zao via internet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…